Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu, Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka? CEOs huwa wanabanwa na...
21 Reactions
69 Replies
8K Views
Wana Simba mna maoni gani kuhusu kauli hii ya mwekezaji wa Klabu ya Simba? Mwaga maoni.
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Tweeter yake,kaamua kujiuzulu within a short space of time. Habari kamili inakuja.
11 Reactions
134 Replies
13K Views
Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24. Kupitia Canal Sport sasa...
5 Reactions
110 Replies
15K Views
SAFARI ya kutoka Tabata, Mwananchi, hadi kufika maeneo ya Mbagala Rangi Tatu, ilichukua jumla ya saa mbili, hii ni kutokana na foleni za hapa na pale, nafanikiwa kufika mahali ninapoishi huku...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Ukitizama sakata la mgogoro wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison na sakata la mkurugenzi wa simba kuhamia yanga utagundua hio sio vita ndogo. Vita hii ni ya kusimamisha brand...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Aliewahi kua Kocha wa Yanga SC, "Papaa" Mwinyi Zaheera amesaini kuifundisha timu ya Gwambina FC.
3 Reactions
38 Replies
4K Views
MAMBO NA VIJAMBO VYA WACHEZAJI WA YANGA Kuna mambo mengi sana yanayoendelea ndani ya Club ya Yanga sasa ila yanachukuliwa juu juu tu au kuelezwa sio kwa ufasaha. Moja Leo Eng. Hersi ameongea na...
16 Reactions
39 Replies
6K Views
Waziri mwenye dhamana ya michezo Dkt.Harison Mwakyembe ametangaza uamuzi wa Serikali kuendelea kuruhusu idadi ya wachezaji 10 wakigeni. Kadhalika idadi ya wachezaji wanaotakiwa kuanza kucheza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa vyovyote vile Morrison ni mchezaji tu wa timu asiye na nidhamu na kazi yake, lakini Senzo ni taasisi. Senzo ana Mambo yote ya club ya Simba mabaya na mazuri kifuani mwake, ambayo sasa ni...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Naomba nisaidieni hii kisheria za mpira inakuaje, Dirisha dogo la usajili Ligi kuu Tanzania bara liliisha tarehe 15 Jan 2020, lakini Morrison aliingia nchini 17 Jan 2020. Kwa tarh hiyo inamaana...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua...
6 Reactions
15 Replies
9K Views
Simba ni klabu kubwa na yenye heshima kubwa nchini na Afrika kwa ujumla, ni timu yenye historia iliyosheheni mambo mema katika nyanja ya burudani. Lakini mbali ya ukubwa huo wa jina, bado Simba...
18 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuna clip inatembea ikimuonyesha mchezaji Bernard Morrison akiwashukuru Hans Pope na Crescent Magori kwa kukamilisha usajili wake uku akiwa amevaa jezi ya Simba. Kwa inavyoonyesha usajili huu sio...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba, Senzo Mbatha ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga,
3 Reactions
148 Replies
15K Views
Chimbuko la mpira wa miguu ulianzia nchini China takribani miaka 2000 iliyopita Ma monk na mashaolini ndio walianza kuchezea mawe mfano wa mpira katika mazoezi. Na hapo baadae ukaanza kupata...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilichogundua mpira wetu wakitanzania unachezwa zaidi kwenye mitandao, vijiweni, mezani na fitna nyingi sana kuliko hata wanjani, mpira umegeuka uadui mkubwa sana baina ya pande hizi huyu...
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Tuna wasomi wengi sana nchini ila ni ajabu sana kuona Senzo anagombaniwa kiasi hiki. Wale mnaosema ajira hakuna, mnazungumziaje Timu kugombania mtu mmoja tena kutoka South Africa? Timu ngapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…