Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wadau wote wa Yanga polen na majukumu. Leo nimebahatika kuangalia Samakiba kwanza niwapongeze Samata na Alikiba bila kusahau Wachezaji wote waliojitolea kuwapa Sapoti Leo kama umeangalia...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu. Haya mambo yanayoendelea kati ya simba na yanga wa huku anaenda kule, wakule anaenda huko hasa kipindi hiki cha usajili kabla ya kuanza kwa ligi yetu pendwa ya VPL. Je, kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na ujanja uliofanyika wa kumsajili aliekua mchezaji wa Yanga Bernard Morrison, bila ya yeye kuhusishwa kumepelekea mtendaji huyo mkuu kuachia ngazi ili kutunza CV yake isiharibiwe, kwani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakumbuka nilisema juzi humu kuwa kuna pahala Simba SC wanakosea. Huwezi kuifanya klabu iendeshwe kwa weledi na wakati huo huo unaiendesha kwa Uhuni wa kizamani. Nilikuwepo na Social Media...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Senzo kasinya kwa wananchi.Picha inajieleza yenyewe.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
HABARI ya jioni poleni na kazi na majukumu ya hapa na pale,naenda straight to the point Kwenye website ya parimatch kuna hii option ya Spin to win nimejaribu mara kadhaa kucheza huu mchezo naona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hayati Mzee Benjamin W. Mkapa (Mungu Amrehemu) aliwahi kulisemea swala la kukosa Muendelezo (Continuation) katika Mipango yetu. Naona bado Ni janga. Ninaona kama [emoji1241]tunadhani haya maneno...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Tangu jana baada ya kuwekwa picha kwenye akaunti rasmi za klabu ya Simba zikionesha picha ya Mchezaji Benard Morrison akiwa amevaa jezi zinazovaliwa na Timu hiyo, kumezuka Sintofahamu kwa wapenzi...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Moja kati ya mawinga wa shambuliaji hatari ambao wamewahi kuja hapa nchini ni Bernard Morrison. Jamaa ni talented sana, hilo halina ubishii ata add value sana kwa kikosi cha lunyasii mnyama mkali...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wadau, Mimi mwanayanga. Ila namkubali mo kwa uwekezaji wa Simba. Natazama sana mashindano ya CAF Champions League kila msimu. Mimi ni die hard African football fan boy. Natazama CAF...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Ligi imeisha simba wamechukua ubingwa kwa points 16. Simba hawastahili kuchezea hii ligi, angalia kwenye msimamo waliofuatana walikuwa wanapambana nafasi ya pili na kupishana kwa kwa points...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Uwekezaji unaofanywa na timu za ligi kuu ya Vodacom unafanana na zawadi ya mshindi wa kwanza inayotolewa? Tufanye Nini?
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Mpira unakaribia kuanza bado Azam kwenye channel ya kizungu bado hawajabadilisha lugha hii ni KEROOOO.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Binafsi ninawapongeza Vodacom, KCB, TFF, wachezaji na wadau wote walioandaa na waliopata zawadi za VPL kwa msimu wa 2019/20. Lakini sio vibaya pia sisi wadau watazamaji, wasikilizaji na...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Tamko la mwisho la Azam FC kwenda kwa Yanga FC kama wanamtaka Mchezaji Wao Abubakary Salum 'Sure Boy' ni hili hapa..... " Leteni Tsh Milioni 70 Cash na mtupe Mchezaji wenu wa Kiungo tegemeo...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii TFF ni ya Simba kabisa... tuzo 5 zote zimeenda kwao. Ina maana sisi hatukucheza hii ligi? Hii ni Hujuma. Hata wale wachezaji ambao tulionesha tunawata au kuwasajili wamenyimwa. Hili jambo...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…