Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

WACHEZAJI WA TANZANIA MNA MENGI YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA NGASA. Na Abbas Jiriwa Linapotajwa jina la Mrisho Khalfan Ngasa lazima liguse wadau wanaopenda mpira wa miguu. Kwani ni jina ambalo...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
1. Edger Kibwana ( Clouds FM) 2. Mwl Kashasha( TBC FM) 3. Malegesi Nyamaka ( RFA) 4. Oscar Oscar ( EFM) 5 .Mlipili ( RFA) 6. Yahya Njenge ( Clouds FM) 7. Ally Mayai ( Azam TV) 8. Ibrahimu Masoud (...
4 Reactions
141 Replies
22K Views
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania(TFF), imemfungia miaka miwili na faini ya sh 8 milioni kocha wa Yanga, Luc Eymael. Eymael ametiwa hatiani kwa makosa mawili ikiwemo ubaguzi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF, Leo kuanzia saa moja usiku nchi itazizima kwa kufanyika tukio kubwa la kihistoria hapa nchini wakati mabingwa kwa kihistoria nchini, Yanga na kampuni ya Laliga ya Spain watakapokuwa...
6 Reactions
84 Replies
9K Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa la ushabiki katika mchezo huu pendwa katika Tanzania na kupelelekea kusajiliwa kwa wachezaji wengi kutoka nje. Hii imesababishwa kwa kukuwa kwa nguvu za kiuchumi na...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Nasema hali inatisha kwa sababu hata mwaka jana walifanya usajili mkubwa
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Wachezaji au maafisa wa mechi watakaokohoa kwa makusudi wanaweza kupewa kadi nyekundu, Bodi ya Kimataifa ya Mashirikisho ya Soka Duniani (IFAB) imetahadharisha. Ifab, yenye maskani yake Zurich...
1 Reactions
0 Replies
578 Views
Mwaka juzi na jana walifanya hivi hivi,yaani hawa majamaa ni utopolo original ,wanawaacha wachezaji 16 na kusajili wengine halafu mpaka wazoeane msimu umeshaisha then waje kusingizia simba...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo ndio leo, Fainali ya Azam Sports Federation kati ya Simba Vs Namungo, mechi itakayopigwa uwanja wa Nelson Mandela pale Sumbawanga, Rukwa. Kama kawaida yetu, tupia utabiri wako nani anashinda...
4 Reactions
71 Replies
8K Views
Nawakumbusha tu, msijisahau leo mnapowashabikia Namungo huko Nelson Mandela Swanga. Kuwa kwenye kufungua msimu tunapiga gongowazi aka utopolo aka manyani fc goli nyngine za kutosha. Labda TFF...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Aliyekuwa kocha wa Yanga ametimuliwa kwa kutamka maneno yanayoaminika ni ya kibaguzi kwa mashabiki kwa kuwafananisha washabiki na nyani na mbwa kubweka bweka hovyo. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar...
5 Reactions
16 Replies
980 Views
Tujuzane wakuu 1. Kuhusu kutoa na kuweka malipo 2. Kuduma kwa wateja 3. Masoko 4. Kiwango cha chini na cha juu cha stake na malipo 5. Mitandao ya simu inayoruhusiwa kwa ajilli ya miamala n.k, n.k
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Kiufupi mimi ni mfuatiliaji wa ligi mbalimbali tofauti na wadau wengi ambao kwao EPL ndio ligi. Na huwa wanazi-refer hizi ligi nyingine kama ligi za wakulima na hazina ushindani na...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Kutokana na Usajili wanaoufanya sasa ambao 'Kitaalam' na 'Kiufundi' ni wa Kipumbavu (Kipopma) ukiachilia mbali ni wa Kimasikini pia, Mabingwa wa Kutochukua Kikombe chochote ndani ya Miaka Mitatu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kipi kinakufurahisha kwenye hii video. Mimi ni mkwara wa Luis Miqsonne akishangilia goli lake kwa kutamba Shadeeya Sibonike
2 Reactions
7 Replies
2K Views
All in All mshaifanya Fainali kuwa nyepesi Sana kuliko tulivyokuwa tunaiwazia....Kuna timu naiona ikienda kutwaa FA
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau wa michezo, msimu unaelekea mwisho hivyo inatoa nafasi kwa dirisha la usajili kufunguliwa. Kwenye usajili mara nyingi ni lazima uondoe mtu ili ulete mtu, kwa kuanzia leo na klabu ya Yanga...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Jamani kwa anayejua namna ya kushinda Kamari za wachina BONANZA anipe maujuzi
0 Reactions
23 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…