Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Leeds United inatajwa kuwa na uhasimu mkubwa na vilabu vya Jiji la London vikiongozwa na Chelsea FC Leeds United wamefanikiwa kurejea EPL baada ya kuinyuka 1-0 dhidi ya Barnsley...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Kusajili kwa mhemko bila kocha itafanya baadae muanze kulilia huruma ya marefa. Maana tabia yenu kuwafanya waamuzi wasijiamini ili mfiche udhaifu wenu. Sasa tunawaambia wazi kwamba hili...
1 Reactions
3 Replies
710 Views
Hii inanishangaza sana, Maana ninachojua Mwalimu ndo huwa anapendekeza aina gani ya mchezaji asajiliwe kutokana na falsafa yake na aina ya mpira anaofundisha, sasa hawa Yanga wanasajili vipi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba mnijuze ni Kwanini mashindano ya mbio za magari ya Formula one huwa yanaitwa ''Langalanga'' Hili neno langalanga ni la Lugha gani au linahusiana vipi na hayo mashindano? Asante.
4 Reactions
24 Replies
4K Views
TFF naomba mbadili uwanja wa kuchezea fainali ya FA ili kuwe na fainali bora na sio bora fainali. Mpaka sasa hivi eneo la kuchezea nyasi bado hazijaota vizuri (kwa mujibu wa picha kupitia Tv)...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu! Pole kwa Mashabiki wa Chelsea lakini hongera kwetu sisi tuliombetia Arsenal. Mimi nimepiga 631000 kwa kumpa Arsenal qualify. Nimeweka 300000 nikapata Faida 331000 raha iliyoje
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Timu kushuka sio kigezo cha kusema wachezaji wote ni wabovu, ndio wabovu wapi lakini hata wenye uwezo wapo, maana wahenga waliwahi kutuambia "kidole kimoja hakivunji chawa". Leo tutaje wachezaji...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Yapo mengi mnafanya vizuri lakini hili ni moja ya Makosa mmefanya Mmepeleka Fainal ya FA Sumbawanga Sio Jambo baya lakini Mlitafakari kwa kina au mlikurupuka? Kweli Uwanja kama huu niwakuchezea...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Hongera Ihefu kupanda ligi kuu Kwa kumtoa Mbao kwenye play off Kwa faida ya goli la ugenini na Mbeya city kumtoa Geita FC. Mkoa wa Mbeya Sasa timu 3 msimu ujao.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nasikia Dstv hawataonesha fainali ya Europa kwasababu hawana haki. Nataka kujua nitaichekia wapi. Msaada wakuu
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Kizazi cha Smartphone A student failed his French exam by a single mark after he named Cristiano Ronaldo alongside a picture of a goat. Ahmed Nabil, 15, was presented with a variety of different...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la Kwanza , Ligi daraja la Pili pamoja na Ligi ya Wanawake limefunguliwa leo Kwa mujibu wa taarifa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waendesha mashtaka nchini Paraguay wanatarajia kuhitimisha uchunguzi wa kesi ya Ronaldinho baada ya kukamatwa miezi 4 iliyopita na hati bandia ya kusafiria ya nchi hiyo. Waendesha mashtaka...
1 Reactions
1 Replies
874 Views
Polisi walimsimamisha baada ya kulitilia shaka gari lake lakini majibizano yakachukua mda na hatimaye polisi wakaona wamweke lockup.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
Klabu ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo , Jesus Garcia Pitarch baada ya kukosoa sera za usajili za klabu hiyo. Mshambuliaji wa klabu ya AstoNVilla, Mbwana Samatta...
10 Reactions
30 Replies
5K Views
Nazani huu ndo mwanya wa kumalizana na Morrison bila gharama ya kuvunja mkataba.Kwani kama ni kweli jamaa kakutwa akila green leaf au cha Arusha ukipenda, basi hii ndo fimbo ya kummaliza.Sheria za...
0 Reactions
7 Replies
894 Views
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini. Hivi viongozi wanajua shida tunayopata mashabiki, hebu Msolwa na wenzake watupishe kidogo. Hivi...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Baada ya kumfuta kazi Mkurungezi wa Michezo wa zamani Jesus Garcia Pitarch.... kutokana na kutofanya vizuri katika ligi.... na kushindwa kusajiri wachezaji wa wiwango bora....Timu ya Aston Villa...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Timu anayochezea Mtanzania Mbwana Sammata, imetoka sare na timu ya Westham united na kubaki ligi kuu ya England kwa kukusanya jumla ya point 35. Samatta hakuwa na msimu mzuri na timu yake kwani...
16 Reactions
53 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…