Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa...
Habari wadau,
Nimesikiliza Audio ya kocha wa Yanga maneno aliyoyasema ni ya kweli tupu. Mimi ni mwanayanga ila sijasikia sehemu akitutukana.
Viongozi wa Yanga wameibadilisha tafsiri ya maneno ya...
Habari wadau,
Kutokana na janga la virusi vya korona lilivoathiri misimu ya michezo karibu dunia nzima lakini badae ligi baadhi ya ligi zakakamilika na nyingine kufutwa na nyingine zinaendelea na...
Watoto wangu mmoja ni shabiki wa Simba na mwingine Yanga. Nimewasikia jana wanabishana kila mmoja akisifia timu yake.
Katikati ya mabishano yao shabiki wa Simba akamwambia mwenzake "kabla ya nusu...
Shirikisho la Soka la nchini Afrika Kusini (SAFA) limemfutia jumla vibali vya kazi Luc Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga kufanya kazi ndani ya nchi hiyo. Imeeleza taarifa kupitia tovuti ya...
Nyota wa Klabu wa Yanga, Benard Morrison raia wa Ghana amesema kuanzia kesho yeye ni Mchezaji huru.
Morrison ambaye juzi aliondoka huku mchezo dhidi ya Simba ukiendelea amedai kuwa mkataba wake...
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni...
Los Angeles: HBO's medieval saga "Game of Thrones" is known for serving up graphic deaths of its lead characters, but when fan favorite Jon Snow was killed off, avid followers speculated every...
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia...
Kiboko ya Nkana FC ya Zambia
Kiboko ya AS Vita ya DR Congo
Kiboko ya Yanga De Utopolo
Mzee wa Faint movement
Chota Chama Triple C amechaguliwa na mashabiki wa Simba, Yanga na wapenda soka...
Zahera alimkataa Mkwasa na Sasa Eymail anamkataa Mkwasa, tatizo Ni Zahera na eymael au tatizo Ni Mkwasa?
Bado Nina Imani Zahera kuliko Eymael na Mkwasa
Jumapili 26/7 ndio mwisho wa Ligi kuu ya Uingereza. Timu ya Samata, Aston Villa inahatari ya kushuka daraja ikiwa na point sawa na Watford zikiwa na point 24, ila Aston villa ina goli moja tu...
Habari wana futiboli wenzangu
Mimi ni Simba damu ila naona umuhimu wa leo Yanga kushinda ili akachukue hili kombe akawakilishe kimataifa mnajua kwanini.
Simba tayari kashakata tiketi ya kucheza...
Sancho peke yake ka win penati 10 huko Bundesliga hadi sasa idadi kubwa kuliko mchezaji yoyote kwenye ligi 5 kubwa barani Ulaya.
Manchester United tumetunukiwa penati 14 msimu huu EPL, pia hiyo...
Inawezekana kabisa asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania tunaishi kutokana na wazazi wetu walivyotaka tuwe, yaani mzazi amehusika sana kukufanya uishi hivyo unavyoishi.
Yamkini wazazi walitaka uwe...
mchakato wa klabu ya simba kuendeshwa kupitia umiliki wa hisa unaelekea ukingoni.
na mwanahisa aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kumiliki hisa zaidi ya 50% alipata pingamizi kutoka serikalini na...
Hii haivumiliki na GENTAMYCINE nasema tena kuwa hii haivumiliki na namuomba Waziri wa Michezo aamuru Jeshi la Polisi nchini Tanzania chini yake IGP upesi sana wamsake (wamtafute) popote pale alipo...