Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa jinsi yule kocha Mwinyi Zahera alivyojitolea kwa Yanga ambayo ilikuwa inaandamwa na ukata mkubwa na Yanga; walichomfanyia, wanastahili matusi ya huyu Mbelgiji Zahera alikuwa akiikopesha Yanga...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Ligi kuu ya Soka nchini inafikia ukingoni, mchzaji gani anapaswa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa ligi kuu ya Vodacom? Karibuni kwa maoni yenu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Bila kupoteza muda mtibwa anayo kazi kwa mtindo huu anaweza akashuka daraja
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi ulipokuwa ukilialia kama ambavyo ' Voice Note ' yako ime ' trend ' kweli kweli kuhusu ' Kusakamwa ' na wana Yanga kwa kile walichodai kuwa ulikuwa ' ukiwahujumu ' nilikuonea Huruma na Kudhani...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Ligi ya EPL inafikia ukingoni jumapili tarehe 26 july 2020, kuna vita ya aina mbili kuelekea kufungwa kwa ligi. Kwanza ni timu mbili ambazo zitaungana na Liverpool na Man City kuelekea kwenye...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Mechi za funga dimba Msimamo wa VPL Kikosi cha Mnyama Kikosi cha Yanga Updates Half Time Updates Full Time
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Usije kusema sijakuambia kwani hao Nyuki ni wale wa Kuja na Kasi ya Upepo kutoka Bahari ya Hindi ambao ni wakali sana na wanaweza Kukuachia Nundu nyingi Kichwani na hata Mwilini kwako. Hata hivyo...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
PREMIER LEAGUE FT 26/07/2020 (18:00 EAT) 3 - 2 Arsenal Watford FT 26/07/2020 (18:00 EAT) 1 - 2 Burnley Brighton & Hove Albion FT 26/07/2020 (18:00 EAT) 2 - 0 Chelsea Wolverhampton Wanderers FT...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Swali langu hilo hapo juu. Hii timu inapiga sana faulo.Nahisi ukitengewa nje ya boksi kidogo ni ndani. Sidhani kama kuna timu inapiga faulo kuliko hii ligi kuu.Kama ipo muitaje tafadhali...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mpira wa Bongo una maajabu sana, kuna nini mpaka yanga kuacha bus lao na kupanda Coaster.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, TPLB imewaagiza makamisaa wote wa mechi za mtoano na Ligi Kuu ya Vodacom kuwa na dakika moja ya maombolezo katika kila mechi itakayochezwa kwa kipindi cha maombolezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam.. Nimeona niandae kwa haraka haraka namna msimamo wa ligi utakavyokuwa kuelekea kumalizika kwa ligi siku ya jumapili, 26 July 2020. Tukianza na timu 4 zitakazofuzu kwenye michuano ya ligi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapa mguu wa Konde Boy ulifanya kitu kinaitwa Trigonometric Equation: Ni goli dhidi ya Alliance FC,likipigwa kwa mtindo wa curve
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu Kiukweli kabisa kutoka moyoni nimeichagua ihefu fc kuwa team yangu pendwa Baada ya Simba,Mufc,River plate. Mungu ibariki Ihefu ifuzu TPL
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Kumekuwa na mijadala mbalimbali inayoendelea Mitandaoni kuhusu ni nani kocha bora kwa sasa Duniani. Wengi wamekuwa wakimtaja Pep Guardiola, wengine wakimtaja Zinedine Zidane, lakini pia wapo...
6 Reactions
166 Replies
25K Views
Upo uwezekano mkubwa kwa Tanzania kupata nafasi nne za uwakilishi kwenye michuano ya vilabu barani Afrika (CAF CL na CC) kutokana na uwezekano wa Libya kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
1: Chelsea anahitaji pointi 1 kucheza UCL msimu ujao 2: United anahitaji pointi 1 kucheza UCL msimu ujao 3:Leicester anahitaji pointi 3 kucheza UCL ( lakini atahitaji pointi 1 endapo chelsea...
4 Reactions
6 Replies
897 Views
Baadhi ya shabiki wa 'kilabu' ya mpira wa miguu ya Aston Villa wameshikwa na hasira baada ya kupata habari kuna uwezekano wa mshambuliaji wa timu yao Mbwana Samatta kwenda kujiunga na timu ya...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari wan aJF Naleta thread hii mahususi kwa kupeana ujuzi zaidi kuhusu ps2, ps3 na ps4 kwa matengenezo na vitu muhimu pia kama una games unaweza kuzilink watu wazipate na updates zote.
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…