WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LEO KILA MMOJA AMEPOKEA KIASI CHA TSH 10M ZA BONUS BAADA YA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA FA KIASI HIKO CHA 10M KILA MMOJA NI SAWA NA 380M KWA KIKOSI CHOTE CHA...
_
George Weah akitokea ligi ya Liberia,moja kwa moja hadi klabu ya Monaco,baadae kuelekea club ya Paris St Germain na kilele chake kilikuwa alipoelekea club ya Milani na kuwa Mfalme wa San...
BAGAMOYO TOURS
TAA TANZANIA ni taasisi isiyo ya kiserekali lilosajiliwa mwaka 2008 kwa no. 15995. Inakutangazia kuwa.
Kutakuwa na trip ya kwenda bagamoyo siku ya jumamosi sikukuu ya 8*8 tarehe...
Utashangaa sasa hivi Morrison ndo anaangushiwa jumba bovu na wanatoa povu sana juu yake.
Mara wanasema wamelogwa na Simba!Sasa kama wamelogwa,kwa nini kugombana na mchezaji wao waliyembatiza jina...
Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1
Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na...
Kagame Cup ambayo inashirikisha mabingwa kutoka wanachama 12 wa Cecafa, ni moja ya shindano kongwe barani Afrika ambalo kwa muda mrefu limekuwa likidhaminiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Dar...
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, raia wa Msumbuji, ameonekana kuwa moto wa kuotea mbali, labda kuliko staa mwingine kwenye timu hiyo kwa sasa.
Huyu ndiye alikuwa staa kwenye mchezo wa nusu...
Naona kuna juhudi kubwa za wana Mikia kuona BM anatimuliwa Yanga ili waokote dodo.
Ni kweli BM ni chizi kabisa, lakini Mikia na yeye mwenyewe wajue dili la kujiunga na Mikia watalisikia redioni...
Leo asubuhi akihojiwa na Wasafi FM kupitia Mtangazaji Yussuf Mkule Msemaji wa Yanga ya Mshindo Msolla aitwae Hassan Bumbuli kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa Yanga imepanga Kufanya ' Mauwaji...
Kwa mara ya kwanza huyu mtu amenifanya nimkubali kwa 98%...ni fundi ....fundi..kweri kweri....kila apatapo mpira wewe subiria furaha kwa kile atakachofanya!....najiuliza huyu amekuja Yanga kweli...
Wiki iliyopita katika hapa na pale ulizuka mjadala katika chombo fulani cha habari za michezo kuhusiana na ubora wa timu hizi kati ya Rasen Ball Leipzig na Atalanta B.C ipi imekuwa na mwenendo...
Hizi ni taarifa nzuri kwa timu ya utopolo ni baada ya jana CAF kuziondoa timu za libya kwenye clab bingwa Africa na kombe la shirikisho kutokana na ligi hiyo kusimama kwa misimu miwili hivo ni...
Sasa ni rasmi msimu ujao Tanzania itarejea katika utaratibu wa kutoa timu mbili kwenye michuano ya CAF baada ya Yanga kushindwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho...
MICHUANO YA KOMBE LA DUNIANI 2022 KUFANYIKA MWEZI NOVEMBA NA DESEMBA
Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa michuano ya kombe la Dunia 2022 inayotarajiwa kichezwa nchini Qatar...
Mabingwa wa soka Tanzania bara(VPL) msimu wa 2019/2020, pia wakiwa ni mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo ambao wamechukua ubingwa wa msimu huu kwa kuweka rekodi mpya ya kutawazwa ubingwa wakiwa...
Habari wadau,
Kitendo cha wachezaji wa yanga wakiongozwa na Lamine kumwambia kocha amtoe Morrison kibinadamu sio sawa.
Hata ingekua ni mimi baada ya kutolewa kwa shinikizo la wachezaji wenzangu...