Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo Ni Leo Waweza Kusema Hivyo! Pale Mida Ya 1;00 Usiku Katika Uwanja Wa Taifa, Timu Mbili Zenye Ushindani Mkubwa Zaidi Bongo Mnyama/ Wekundu Wa Msimbaz/ Wanalunyas/ Taifa Kubwa Timu Ambayo...
7 Reactions
158 Replies
15K Views
Wakuu heshima kwenu, ni dhahiri sasa kampuni ya michezo ya kubahatisha betika ilikuwa na tatizo LA kiufundi na wala si matapeli kama nilivyokuwa nikiwafikiria. Hii ni baada ya kufanikiwa kutoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Na hamna cha kumfanya
2 Reactions
3 Replies
551 Views
Wakuu Habari zenu? Mechi ya kesho ya Man U vs Southampton iko wazi kabisa Manyumbu wanakufa pale OT 2(mbili) bila. Mashabiki wa Manyumbu kwa akili zao wanajua watashinda hiyo mechi kwa ambao...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Kitendo cha mchezaji wa Yanga Bernad Morrison kutolewa nje kwa substitutions na yeye kuamua kutoka nje ya uwanja na hatimaye kuchukua bodoboda na kutokomea kusikojulikana. Tafsiri yake ni nini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakuna shaka lawama hizi ziwaendee benchi la ufundi kwa ushenzi waliofanya kumchezesha huyu mhuni Morrison. Wale wanaomwelewa alichokifanya hata mwezi hana sidhan alistahili kuvaa jezi za yanga...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu. Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli.. Ukali unasaidia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa beki kiraka wa simba shomari Kapombe ataanza mchezo wa leo dhidi ya yanga Japo mwanzo ilionekana atakosa mechi zote zilizosalia msimu huu
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nimepita kwenye ukurasa wako wa insta nimeona umepost kijana mmoja kati ya watu wasiojielewa kabisa duniani akiwa amevaa jezi ya yanga huku akimpigia simu mtu aliyemtaja kama John. Nimesikitishwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kama kawaida yetu Yanga, Simba huwa hawatusumbui Wakichomoka pona pona yao ni sare bila ivyo wameumia sababu simba mwaka huu amekua dhaifu Sana mbele ya wananchi. Mimi Nampa yanga ushindi...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Nilikuwa mshabiki wa Yanga, Ingawa kipigo cha jana ni moja ya sababu lakini siku nyingi nimechoshwa na soka letu ambalo lina siasa siasa ndani yake..... Kwaheri yanga, Kwaheri Taifa stars...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde. Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na...
8 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m === Manchester City's hopes of playing in next season's...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu jamaa jana alionekana rasmi ni garasa lililochangamka. Kwanza nafasi ambayo anacheza simba wanao wachezaji wengi wazuri hamna mtu wa kumuweka benchi, Simba iachane na huyo jamaa ituletee...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau Nina majonzi ya kufungwa na watani japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu. Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi.. Tukiacha yote nimependa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nazani Wale Mliopo Kwenye Ndoa Mnajua... Goli 4 Nyingi Jamanii Acheni Utanii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa tulichokifanya ' Kamati ya Roho Mbaya na Ufundi wa Kimila ' usiku wa Kuamkia leo ili Kulipiza Kisasi kwa Yanga SC tutakapocheza nao Kesho Jumapili tarehe 12 July, 2020 kama Yanga SC akishinda...
11 Reactions
68 Replies
6K Views
Kumradhi kidogo.. usije kuchanganya Steve Walsh yule mchezaji na Steve Walsh huyu Scout tunaemzungumzia hapa Leo, Walsh ni mtu asiyeimbwa sana nyuma ya mafanikio ya Chelsea na Leicester City yeye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…