Kuna watu wabishi sana humu, wanamoverrate messi, nakubali anajua lakin Messi haburudishi kama alivyokuwa Gaucho.. Messi yeye anataka matokeo tu, Gaucho alikuwa analeta burudani yaani huku akae...
Jamaa anajua anafunga anapiga assist, anaanzisha mashambulizi, anapiga faulo za hatari kwa sasa sioni kiungo kama yeye Duniani ana vitu vya ziada. Nakumbuka Luis Figo jamaa anapita mulemule...
1-4-4-1-1 si formation ya ushindi bali kukata tamaa.
Mabosi wa Aston Villa sijui kama wanaona kuna fursa ya kubakia ligi kuu au ndo wamekubaliana na hali.
Laiti kama timu ingekuwa na nia ya...
Aston Villa ya samatta inakutana na Manchester United! Je samagoal ataweza kuisaidia team yake ikiwa nyumban kujinasua kwenye hatari ya kushuka daraja mbele ya mashetan wekundu walio on fire msimu...
Hivi kweli nyie mnashindwa kupiga hesabu ndogo!
Mmeenda na Gari, leo mmerudi na ndege, gari yenu iko wapi?? mnashindwa kupiga hesabu kuwa gari inarudi tupu inatumia mafuta yale yale ambayo...
Ile Party ya Ubingwa si mdo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa...
Mimi ni mpenzi kindakindaki wa Yanga nimefuatilia mara kadhaa tukicheza bila Papy tunavyohaha kupata matokeo.
Yanga inatulia sana ikiwa na Tshishimbi; dimba la chini akina Makame, Fey na...
Hakika nawaonea huruma sana mashabiki wa Klabu ya Arsenal.Klabu isiyo na uhakika wa kushinda mechi,iwe inacheza ugenini au uwanja wa nyumbani,wakishinda sana ni Draw match.Nadhani wamiliki wa...
NBA suspends season due to coronavirus
Rudy Gobert, mchezaji wa timu ya Utah Jazz amepimwa na kukutwa na coronavirus. Hii imesababisha ligi iahirishwe mpaka wakati utakaoamuliwa (until further...
Ndani ya miaka sita iliyopita mikia fc na yanga african wameweza kuchukua bingwa wa vpl kwa kila mmoja kuchukua mara tatu mfululizo
Tofauti na yanga waliochukua ubingwa back to back kwa uwezo...
Miamba ya soka Tanzania Simba na Yanga jumapili hii zitamenyana katika kombe la FA hatua ya nusu fainali.
Ikumbukwe msimu huu yanga kapata matokeo mazuri dhidi ya mtani wake simba.
Jana katika...
.
Sahau kuhusu ubao ila naomba ulikumbuke sana jina Meja Abdul Mingange, ufahamu mkubwa wa kiufundi, kumsoma mpinzani kisha anacheza soka la uchumi sana (speed economy)
.
Sahau kila kitu kuhusu...
Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba.
Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa...
Beki bora kwa miaka 10 iliyopita kwangu mimi ni Kelvin Yondani Cotton Injinia Vidic.
Licha ya umri kuanza kumtupa mkono sasa, Kelvin Yondani katika ubora wake alikuwa ni mwamba usiotikisika...
Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Bernard Morrison ameishtaki klabu hiyo TFF, akidai kutotambua mkataba mpya wa miaka 2 unaodaiwa alisaini kwa makubaliano maalum.
Kamati ya Sheria na Hadhi...