Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Miaka 13 sasa toka Arsenal atwae ubingwa wake wa mwisho EPL, mambo mengi yametokea na hata kupita, tujikumbushe baadhi ya mambo hayo; 1. Kikwete ameingia madarakani ametawala miaka 10 na sasa...
6 Reactions
20 Replies
15K Views
Mtazamo wako unasemaje kuhusu hawa makocha wawili wa EPL Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu Habari zenu?, Wakuu kwa wale ambao awaangalii mechi za Liverpool ni vizuri nikakupa taarifa maana naona watu hawaangalii mechi za Liverpool halafu wanapiga kelele tu ooho liverpool...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi. Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Mchezaji aliyepewa kadi ameshangazwa Mtangazaji wa Azam akishangazwa na maamuzi ya refa. Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tamko lolote toka TFF la kufuta mchezo huo na kutuomba radhi wapenda soka...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hat-trick 92 maisha yake yote Mabao 4 mara 36 maisha yake yote Mabao 5 mara 6 maisha yake yote Mabao 8 mara 1 maisha yake yote Miguu yake yote ilifunga magoli yasiyo na idadi Kichwa chake...
27 Reactions
167 Replies
25K Views
Jana club ya Simba SC imetangaza ubingwa wa VPL msimu 2019/20 hongera kwao ila pia aibu kwao kwa kuwa na brand kubwa ila iliyojaa unprofessional employees kuikuza vizuri. Simba itakuwa mfano ila...
16 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwanza naipongeza timu yangu ya Jangwani, lakini kubwa kuliko yote kwa mechi ya leo. Mwamuzi toka Kigoma kaiharibu sana mechi ya leo! Kiukweli aliharibu mechi baada ya maamuzi kuonekana...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Team ya Chelsea hivi Leo wameconfirm usajili wa Timo Werner from RB Leipizig wa price clouse ya Paundi million 45 wa mkataba wake. Imeripotiwa Timo Werner atajiunga na Chelsea mwezi ujao(Mwezi wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mchezo wa mpira wa miguu ni miongoni mwa michezo inayovuta hisia za wengi haoa nchini na nje ya nchi lakini kutokana na matukio yanayoendelea ya waamuzi kuja na maamuzi yao ni wazi tunapoelekea...
1 Reactions
3 Replies
742 Views
Inachekesha sana shabiki tena alie huku pembezoni mwa dunia kushabikia timu yake kwenye mafanikio ya uchumi Faida inayopatikana kwenye pato la timu hakuna hata shabiki mmoja anae pata hata mia...
3 Reactions
2 Replies
639 Views
Jana alifungwa magoli matatu mepesi sana na kuinyima nafasi Ndanda ya kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Kwa mtindo huu soka letu la Tanzania bado lina safari ndefu sana!
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Leo swali langu lipo kama ifuatavyo; Kwanini uongozi wa Club ya Simba ulishindwa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yanga tunaendelea kupambana kuja chukua Ubingwa wa Ligi Kuu. Simba leo inapoteza na mechi zijazo itapoteza mpaka mwisho. Yanga tunapindua Meza.. tumekuja kuwaonesha maajabu. Simba hachukui...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa FC DALLAS fafa picault (29) anasema moja ya matukio ambayo hawezi kusahau katika maisha YAKE ya soka Ni pale AMBAPO KOCHA wa Timu ya Vijana ya CAGLIARI Alipomuita yeye Ni Sokwe...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Miaka ya1990 na 80' hata 2000'ligi ilikuwa tamu Sana! Siku ya Ubingwa ilikuwa furaha tele, ilikuwa unaweza hata kuoa siku hiyo. Lakini leo ligi imekuwa nyanya Sana! Simba tunatamba tu. Hizi timu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu salam. Wale wafuatiliaji wa mpira wa mabeberu hapa nazungumzia ligi mbali mbali za ulaya hasa ligi pendwa Epl wanafahamu kwamba kipindi hiki cha covid19 mashabiki wamezuiwa kujumuika...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…