Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habarini za jioni wakubwa? Leo katika jukwaa la michezo nmependa kuchangamsha kwa style hii nmeleta uzi kumuhusu huyu fundi wa mpira aliyecheza mwadui na team zingne za daraja la kati...
1 Reactions
5 Replies
36K Views
Mdogo wetu mambo si mambo Aston Villa vs. Chelsea dakika ya 15, bila bila Ally Samatta hayumo Mtangazaji kasema namba yake imechukuliwa na Keinan Davis, in case you are wondering where he is
2 Reactions
13 Replies
2K Views
UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
==== BAADA ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hatimaye kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wao wa kwanza leo dhidi ya Mwadui, Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
5 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama kuna Mechi ambazo zinaenda kuwa ngumu kwa Simba Sports Club ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) naipenda na Kuishabikia basi ni hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki na hasa hasa hii ya Leo na zile zingine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna clip inasikika ambayo, msemaji wa Yanga ndugu H.Bumbuli anamporomoshea matusi makubwa na kumdhalilisha msemaji wa Simba ndugu Haji Manara! Amesikika akimkebehi kwa kuwa alibino, na kutoa...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Hivi ni kwanini asilimia kubwa ya makocha wa Tanzania ni vibonge?
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Bila shaka wale wapenzi wa michezo wa mguu tuliobahatika kuangalia soka la jana ..mtakubaliana nami kuwa mchezo wa jana ulikuwa 50/50 Kwa maana ya point ila kutokana na viungo wabunifu wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Afrika Mashariki nzima inatambua leo wenye ligi yao watakuwa Uwanja wa Taifa katika mbio za kukamilisha ratiba. Mechi ni Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting. Utaungana nami hapa JF tukishirikiana na...
11 Reactions
198 Replies
16K Views
Mpira ni mapunziko,hadi sasa JKT 1 - 0 Yanga Goli ya JKT imefungwa na Michael dk 36 Updates JKT 1- 1 Yanga 76'[emoji460]️ Sibomana Full time JKT 1 - 1 Yanga.
8 Reactions
133 Replies
9K Views
Mashabiki wenzangu wa man utd ni kikosi gani ungependa kianze leo dhidi ya Jose mourinho
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike. Awali kipindi hiki kilipoanzishwa...
9 Reactions
105 Replies
11K Views
Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Vyama vikubwa vya ngumi haswa WBC na WBO wameonyesha tamaa ya wazi wazi bila kuzingatia sheria zao walizojiwekea. Kulikuwa kuna malalamiko ya muda mrefu kuhusu uwepo wa minor champions katika...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana nilikuwa na maslay qeen na video vixen wa yanga leo nipo na wenzao kwanini mashabiki wengi wa simba ni BODABODA na wahuni?
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA), linatarajiwa kumaliza mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa muda wa siku 12 jijini Lisbon-Ureno, mwezi Agosti mpango ambao utaamuliwa leo kwenye kikao...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…