Habari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo
Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na...
Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa.
Wadau naomba...
Leo saa 10 uwanja wa CCM Kambarage kitanuka. Yanga itakuwa ikilinda heshima yake kwa Mwadui.
Ninachongea hapa uwanja wa Kambarage kuwaletea moja kwa moja live updates
====
Yanga SC ameibuka na...
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB), imesema haitatoa leseni kwa klabu yoyote msimu ujao, ambayo itakuwa inadaiwa na wachezaji, makocha na hata taasisi mbalimbali.
Tamko hilo limetolewa na...
Wakati Dunia ikiwa katika uso wa tabasamu baada ya janga la Corona kupungua ni wakati wa kusema asante sana Mungu. Nyakati ambazo tulipoteza baadhi ya watu muhimu sana katika maisha yetu, ila yote...
Habari wakuu, naangalia mechi kati ya Real Madrid na Eibar mpira unatangazwa kiswahili. Unaweza kuchagua lugha kati ya kiswahili na kiingereza, lakini kotekote wanatangaza kiswahili, tatizo nini...
Nimetoka kusikiliza malumbano ya msemaji wa Yanga na msemaji wa Simba. Hawa watu walizozana wenyewe wawili kwenye simu, iweje Manara aje iweke hadhatani walicho zozana? Kumbe na yeye anaumiaga eeh.
MANARA ANABAKI KUWA SHUJAA ALIYESHINDIKANA KATIKA UTANI WA JADI.
Niliwahi kuandika siku za karibu Yanga wakitaniwa utani unaoakisi ukweli wanakimbilia kumtusi Mo au Manara. Mnajua ni kwa nini...
Habari wadau..
Nimesikia simba wanamtaka morrisson.. nikashangaa sana.. simba imesajili watu wengi wazuri mbele ila bado inahangaika..
Kwa uzoefu wangu wa kutazama caf champions league...
Baada ya kuangalia mechi ya Jana ya hii team dhidi ya mwadui nilifafhaika sana kuona watoto na watu wazima akili zao ni sawa wanashangilia ushindi utazani wamechuka kombe la UEFA
vitu vingne...
Nikiangalia watazamaji walioingia viwanjani kushuhudia mechi za ligi kuu baada ya michezo kuruhusiwa tena, sikuona matumisi sahihi ya barakoa kujilinda dhidi ya COVID-19.
Kuna ambao hawakuzivaa...
Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni.
Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na...
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports...
GOLI LA PETER TINO LAWANYAMAZISHA WAZAMBIA, KENNETH KAUNDA KWENYE UWANJA WA NDOLA, ZAMBIA,1980.
Leo 13:15pm,22/03/2019.
Enzi hizo nilipata kuwashuhudia Gabriel Peter (Gebo Peter) na Emmanuel...
Ipi hukumu kubwa zaidi kuwahi kutolewa duniani? Hakuna anayejua jibu sahihi. Ila ipo moja tunayoweza kuitumia kama mfano, japo sina hakika kama ndiyo hukumu ya kikatili zaidi kuwahi kutolewa...
Good evening and welcome back, it's me Peter Drury alongside Jim Beglin. It's been 3 months of anguish to the world, but today we're here to witness the same anguish on Arsenal. We all know the...