Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari za mchana ndugu zangu . Jana nimeona yanga wamesaiin mkataba na La Liga na Sevilla na wametoa billion 2.6 Sasa kwa wale wajuzi wanisaidie yanga itanufaikajee na huu mkataba?
1 Reactions
26 Replies
3K Views
SIMBA SC KUMKOSA MKUDE MECHI NA RUVU SHOOTING JUMAPILI BAADA YA KUUMIA DHIDI YA KMC Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC itamkosa kiungo wake tegemeo, Jonas Gerlad Mkude katika mchezo wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VS Ni miezi mitatu imepita toka ligi yetu pendwa isimamishwe kutokana na janga la corona. Ni rasmi sasa kesho ligi inakwenda kuendelea ili kumalizia mechi zilizobakia, miamba kutoka mkoani...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limezingatia maelekezo ya FIFA katika kukabiliana na changamoto za #COVID19 ambapo katika mchezo mmoja timu itaruhusiwa kubadili hadi Wachezaji watano badala ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Katika taarifa ya habari za michezo za kimataifa ametaja timu moja ya NFL aliyo itambulisha kama Seto Sewaki. Wajuzi na wafuatiliaji wa huu mchezo naomba ufafanuzi kama mnaijua au mliwahi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
"Yanga imejijenga kua kama timu fulani ndogo, Yanga ni moja ya timu kubwa hapa nchini ya kihistoria, lakini sasa hivi wana tabia za timu ndogo. "Tabia za ndogo siku zote hua wanakamia wanapocheza...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Hii ni timu kubwa na ina jina lakini namna inavyoendeshwa ni kama ndondo. Tazama wachezaji wanavaa kienyeji kama wapo Kariakoo.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Anahoji Mwandishi wa habari za michezo Ndg. Saleh Jembe; Nimezungumza mara nyingi sana kuhusiana na hili suala lakini WASIO NA HOJA wakaishia kwenye Matusi, sasa leo TUJIFUNZE TENA ANGALIA LOGO...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwenye biblia kuna kisa cha mtoto mchunga mbuzi Daudi wa Israel, wakati huo kila mtu anamuogopa Goliath mwenye nguvu kama Hawafu, Daudi hakutumia nguvu kubwa bali akili ndogo sana kumuangusha...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukiitaja Manchester United kwa Kipindi cha msimu huu na wachezaji wake waliocheza kwa kiwango cha juu hutasita kulitaja jina la mbrazili Frederico Rodrigues maarufu kama Fred akivalia jezi nambari...
3 Reactions
5 Replies
967 Views
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari, Inawezekana kuna wadau humu wamekuwa 'addicted' na mchina ama korokoro kama inavyoitwa katika sehemu mbalimbali. Naomba kwa anayefahamu adondoshe hapo tip jinsi gani unaweza...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Kuna swali watu wanajiuliza mwakilishi wa sevilla/Laliga hapa ni yupi?
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Niliwahi kuandika huu uzi. Tyson alikuwa anabebwa, overrated Katika kupanga na kupangua hoja na kujibishana nikaongea nusu au zaidi ya alichosema Wilder juu ya Tyson. Angalia hapa.
6 Reactions
105 Replies
8K Views
Ilikuwa ni Ijumaa ya Tarehe 22 mwezi wa tano mwaka 1987 , siku yalipotokea mauaji ya kimbali mjini Hashimpura nchini India na watu 350 waliuawa, sababu za itikadi za kidini zikitajwa. Lakini...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Simba leo anacheza na KMC uwanja wa Mo Arena ,mechi ni jioni ya leo Updates Dk 30 SIMBA 0 - KMC 1 Charles ilanfya Update Dk 34 SIMBA 1- KMC 1 Bocco Half time 1-1 Update...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa. Golini Van Der Sar, ukutani kuna makamanda Rio na Vidic, Kiungo kuna watoto...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Manchester City wanaelekea katika moja ya wiki kubwa kuwahi kutokea katika historia yao wakijua kwamba , heshima yao , nafasi yao ya kucheza ligi ya mabingwa ulaya na kikosi chao cha msimu ujao ...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Felix Tshisekedi ame.teua Robert Kidiaba kuwa Waziri wa Michezo wa Taifa hilo Robert Kidiaba aliwahi kuwa mlinda mlango wa Klabu ya Soka ya TP Mazembe na Timu ya Taifa ya DRC Katika Uchagu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…