MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Diego Costa amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, amacho hatakitumikia na faini ya jumla ya Pauni 482,000 baada ya kukutwa na hatia ya kukwepa kodi zaidi ya...
Hi wana JF
Twende moja kwa moja katika mada,lengo LA Uzi huu ni kuhadithiana mikasa mbalimbali tuliopata wakati wa michezo mbalimbali.
Binafsi ni mpenzi wa mpira wa miguu,nishawahi kupata...
Main event hiyo itakuepo around saa 0500am mida ya kibongo
Wale wenye bando za bwerere tumieni hapa HesGoal.COM Sports News kuona mtanange live
===
Amanda Nunes is the greatest women's MMA...
LONDON, ENGLAND
SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amempiku staa mwenzake, Lionel Messi kwenye mchakato wa wanasoka waliovuna pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2020 kama inavyofichua orodha mpya ya jarida la...
Timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza, sasa zitakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji watano, badala ya watatu kama ilivyozoeleka katika mechi, mabadiliko ambayo yataenda hadi...
_
“Ninafurahi kushinda tuzo hii, nani mwingine angeshinda zaidi yangu? Miaka miwili iliyopita nilimaliza katika nafasi ya sita, mwaka jana nikamaliza katika nafasi ya nne, sasa ni zamu yangu” hayo...
_
Ilinigharimu muda mrefu sana kumuelewa Stamina shorwebwenzi, aliposema "kama wakati ni fedha basi ningefungua benki ya saa". Nilituliza kichwa nikatafakari, upo uhusiano gani kati ya muda na...
1. Willian Borges.
Mashabiki wa Chelsea lazima wafadhaike na utendaji wa Willian msimu huu. Mbrazil huyo aliaminiwa na mashabiki wa Chelsea kwamba ndio wakati wake wa kukabidhiwa jezi namba 10...
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani...
Katibu wa Utamaduni, Habari na Michezo, Oliver Dowden amethibitisha kuwa michezo itaendelea kuchezwa bila mashabiki
Michezo iliahirishwa tangu Machi kwa sababu ya #CoronaVirus ila kwa sasa...
Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu...
Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona
Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama...
" Katika hili nikiwa kama Kocha wa Makipa wa Klabu ya Yanga niseme tu ukweli kwa jinsi Ratiba hii ilivyo hasa Kwetu Sisi Yanga hatutoweza kuwa na Maandalizi ya kutosha ya kutuwezesha Kubeba ama...
Wachezaji wanaovua jezi zao kwenye nia ya kupinga ubaguzi wanastahili pongezi na sio adhabu, kwa mujibu wa Rais wa shirikisho la soka Duniani , Gianni Infantino.
Kumbuka kwenye kanuni za soka...