Amani iwe juu yenu wanajamvi.
Binafsi mimi ni shabiki wa Man United na Real Madrid lakini kiukweli sijawahi kushuhudia pacha bora zaidi katika eneo La katikati kama pacha ya Iniesta na Xavi...
Simba kupigia page zao za mitandao ya kijamii wameanzisha program ta kuuliza maswali na mchezaji anajibu papo hapo live
Hiki kitu ni kizur na ni ubunifu mzuri chini ya senzo
Vipi wadau wa soka...
Habari ya jioni pia Heri ya pasaka wapendwa. Kama kichwa kinavyotaja juu nahitaji mawasiliano ya shirikisho tajwa hapo juu, pia naomba kufahamu makao makuu yao yalipo. Natanguliza shukrani zangu...
Katika maisha yangu ya kutazama soka, sijawahi kuona mtu anapiga freekicks kama huyu mwamba, najua wapo kina beckham, ronadinho, messi, zidane, fundi pirlo, cr7, shunshuke nakamura na wengine...
SINTOSAHAU:
Wayne Rooney anatukumbushia tukio la kupata kadi nyekundu dhidi ya Ureno katika kombe la Dunia 2006[emoji471]
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
[emoji860] “Mchezo ulikua unaendelea vizuri. Gafla, mapema...
.
Bonjour Mon Amies![emoji4] tuanze na visiwa flani vilivyotengwa, visiwa hivi kule Carribean Marekani ndipo nyumbani kwa Baba yake Mzazi Thierry Henry aliyekimbia ugumu wa maisha na kuangukia Les...
Habarini wanamichezo
Poleni na pilikapilika za hapa na pale hasa hizi tunazokutana nazo kwenye soka letu hapa nchini. Mapungufu ya wazi kwa waamuzi yamegeuka kuwa ni kawaida katika michezo ya...
Tutaelewana tu! Alisikika shabiki nguli wa Yanga baada ya kusikia GSM wamerudi tena Jangwani baada ya kutokea sintofahamu wiki kadhaa zilizopita.
GSM wametangaza kurudi kwa kishindo na moja ya...
Unamkumbuka Lazaro wa Bethania? Binadamu alieishi Karne ya kwanza hapa duniani, anaezungumziwa kwenye Injili ya Yohana? Yule binadamu aliefufuliwa na Nabii Issa bin Mariam baada ya kifo chake...
Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20
1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe...
Ilikua mwaka 2001 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ililikua Fainali ya Kombe la Castle. Stars ilishinda 3-1 dhidi ya majirani zetu Harambee Stars. Siku hiyo Stars waliupiga mwingi sana...
U NAFANYA unachokipenda? Basi una bahati sana.
Kuna mastaa wa soka unaweza kusema wanafanya wasichokipenda, kwa sababu wasipokuwa kwenye mechi, basi huwezi kuwakalisha chini mbele ya televisheni...
Ni mapema sana kwa Manchester United kufikiria kumbadili kwenye jezi namba moja Davidi De Gea kwa ajili ya Golikipa wao aliye kwa mkopo katika klabu ya Sheffield United, Dean Henderson, kwa mujibu...
Tukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona. Ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini
Karibu mhenga wa FOOTBALL.
Athari 6 Ligi Kuu Bara kama ikifutwa
Tayari nchini Ubelgiji ligi ya nchini humo imefutwa na klabu iliyokuwa inaongoza kwenye msimamo wa ligi hiyo, Club Brugge ikitawazwa kuwa mabingwa, huku klabu...
Mambo vp wadau humu ndani. Nimekuwa kwa muda mrefu nafuatilia haya mambo kama kichwa hapo juu kinavyosema.
Sasa kwa uzoefu wangu nimeweza kupata formula fulani ambayo imekua na constant results...
MSHINDI wa Kombe la Dunia, Ronaldinho Gaucho ameachiwa kwa dhamana kutoka gerezani nchini Paraguay baada ya kukaa kwa siku 32 kwa kosa la kuingia nchini humo na pasipoti bandia.
Pasipoti ya nyota...
Ni kibwagizo gani cha kipindi cha michezo redioni ulikipenda sana au unakipenda sana hivi.
Kuna kile kibwagizo kipindi cha michezo redioni kinapoanza kwanza inakuvutia halafu na zile bwembwe za...