Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Breaking News-CORONAVIRUS: GUARDIOLA'S MOTHER DIES AFTER CONTRACTING COVID-19, MAN CITY CONFIRM Manchester City announced the mother of manager Pep Guardiola has died after being diagnosed with...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni kufahamishwa namna ya kuwa wakala wa kampuni zinazoendesha michezo ya kubashiri mf meridian bet,m bet etc Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
. Miaka ya 1959-74 Jijini Liverpool, kulikuwa na Kocha Billy Shankly YES alikuwa 'Mwendawazimu' aliyelipenda soka na kulihusudu, huyo alikuwa mwanaume sana. . Bill aliwahi kuwaambia wachezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiyo ni ranking mpya iliyotoka tarehe 27 March,2020
18 Reactions
147 Replies
18K Views
Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Kutokana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona uongozi wa uefa unafikria kuhusu kusitisha kabsa mashndano ya club bingwa mpaka janga hili la dunia kuisha.na Kama litaisha basi mashondano...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Haters watabisha lkn ndio hivyo
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Mnamo 1975, Congo ya Kinshasa alizaliwa binadamu mmoja Claude Makelele Sinda ila mitaa humfahamu tu kama Makelele, moja kati ya watu bora zaidi kuwahi kuubariki mchezo wa mpira wa miguu. ...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
Hii habari ilianza kama utani baada ya baadhi ya mashabiki ambao walishakata tamaa ya ubingwa kwa timu zao kuja na wazo kama hilo lakini sasa ni rasmi baadhi ya vilabu vya ligi kuuu vikiongozwa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutokana na janga la Covid 19, kuna vitu vingi vimesimamishwa ili kuepusha maambukizi. Mipaka ya baadhi ya nchi imefungwa. Hakuna kuingia wala kutoka. Kuna biashara zimefungwa mfano ni Samaki...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Ambacho hamkijui ile ligi watu wananunua tiketi za msimu mzima tena sio watu tu hadi mashirika huwalipia watu mbalimbali, haki za Tv hulipwa msimu mzima, matangazo, wadhamin na mambo mengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Klabu ya kaizer chiefs, imethibitisha kumnasa kiungo mkabaji, aliyekuwa akikipiga katika kikosi cha mabingwa wa Tanzania Simba sport club James Kotei . Kwa mujibu wa chiefs Kotei tayari amesaini...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Mbao wanavuna walichokipanda. Walianza kufanya makosa kwa kumfukuza ndailagije aliekua akiijenga timu taratibu wakapata bahati wakampata Amri Saidi akaanza na timu vizuri. Sijui wakawaza nini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nelson F.C. yenye makao yake huko mjini Nelson, Lancashire, England iliyoanzishwa mwaka 1882 ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kutoka Uingereza kuipiga klabu ya Real Madrid F.C. huko kwao Uhispania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mi nakumbuka matukio kadhaa. • Kwanza mwenye mpira lazima awe mshambuliaji namba 9 • Ukiwa bonge lazima uwe kipa • Refa akikupa kadi anakuvunjia kipande kabisa cha plastiki ya njano anakupa...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
BAADHI YA SHERIA ZA MPIRA WA CHANDIMU . 1. Mchezaji mnene zaidi atakuwa Golikipa. 2. Mechi haitaanza mpaka mwenye Mpira awe amemaliza kazi za nyumbani kwao, ikitokea wachezaji wengine wanautaka...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Jana ligi ya Belgium Belgium pro league /Jupiler wametangaza kuicancel ligi yao na kumpa ubingwa Club bruge aliekuwa anaongoza kwa tofauti ya point 15 huku clab ya KAA Gent wakipata nafasi ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Nilikuwa naangalia ndondo ya mtaa ukatokea utata hapa dakika za lala salama. Umerushwa mpira ukaingia ndani ya goli moja kwa moja bila kuguswa. Watalaam wa sheria 17 za mpira...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Ukifatilia post nyingi za washabiki wa Yanga wakisaidiwa na waandishi wao wenye mahaba wamekuwa wakiilaumu Simba kwa kuua vipaji vya wachezaji, wameisema sana Simba kwa kitendo cha kumdajili Ajibu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili lipo wazi, sasa kwa mwenendo wa corona unavyoendelea Ulaya ni kuwa Corona haitaisha kama walivyoichukulia poa, hii ngoma itakuwa haijaisha hadi mwezi wa 6, possibly pia hadi mwakani, hii ni...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…