USHAURI KWA KLABU YA SIMBA SC PAMOJA NA MCHEZAJI WAO JEAN CHARLES AHOUA!
Sio rahisi sana isipokuwa anafanya kazi kwa bidii zaidi na kuboresha baadhi ya udhaifu:
1. Timu inapopoteza mipira...
Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja.
Hata game ile...
Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao.
Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye...
1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija.
2.Uchovu wa mechi iliyopita.
3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita.
4.Wamekosa ufundi wa strikes...
Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa.
Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na...
Hii ni Rai kwa wanywa 'thupu' Yanga kuwakemea baadhi ya Wachezaji kwani nidhamu inaonekana ni Tatizo
Hili ni angalizo La Mapema kwa Yanga. Eneo La nidhamu Limeonekana kulegalega katika Michezo ya...
Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri.
Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo.
Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024...
Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm.
Ni...
Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae...
Kwa mujibu wa takwimu zinazotolewa na wachambuzi mbalimbali hapa nchini zinaonesha Mdaka Mishale huyu hajawahi kuonja utamu wa clean sheet tangu atue jangwani.
Ni sawa na kusema uwepo wa Diarra...
Tuliwahi kusema hili, kipa akiwa mfupi ni tatizo sana. Ndio maana ulaya magolikipa wafupi waliofanikiwa ni wachache sana ukimjumlisha Iker Casillas.
Huyu kipa wetu Yanga magoli mengi anayofungwa...
HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC.
Kupitia ukurasa...
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.
Timu kama
Mashujaa Fc
Pamba
Prison
Jkt
Singida black stars
Fountain gate
Tabora Fc
Hizi...
Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha...
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi.
Pia, Soma: Full...
Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana