Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"CIRO IMMOBILE" ANAVYOMNYIMA PUMZI "CRISTIANO RONALDO." --------------------------------------------- Pale Seria A. Makipa wanapoiona jezi no 17 kwenye kikosi cha Lazio. Huwa wanaanza kusali sala...
9 Reactions
39 Replies
5K Views
“Hakuna kinachoshindikana ukiamua katika soka, alipambana na kuzipambania timu alizopita kitu kilichofanya aonekane zaidi. Nampongeza ‘Popa’ naamini ametufungulia njia; sasa kila mmoja atapambana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jogging partner!! Awe maeneo ya mbezi beach Muda wa mazoezi saa kumi na moja hadi saa moja jioni Hakuna biashara ingine All gender
0 Reactions
47 Replies
4K Views
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, anajiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, alikuwa akiichezea...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Kweli Watanzania tunaweza tukishirikiana kwa dhati. Samatta amefikia mafanikio haya tunayompongeza leo kutokana na sapoti kubwa kutoka kwa watu tofauti tofauti na Watanzania kwa ujumla. Nakumbuka...
13 Reactions
39 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wakuu Yuko wapi mtusi gentamycine mwenda kwa waganga mkubwa Mbumbubu namba moja mtani wa yanga gentamycine popoma, an Angle Mbona sisikii tambo zake tena ashapima pima maji...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Jana mechi kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea, kiungo bora kabisa Kante amelambishwa udongo na kijana mdogo sana, kosa hilo la Kante liliigharimu timu yake.
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Kocha OGS alikuwa na sabb gani kumtoa Will, Ole ameniudhi sana. Katimu kakuongezea kujaza point unakaacha kana tupigaje ?? Sasa!! Kwa nn ole amekaa tu anaangalia uwanjani, ina maana haoni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC. Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana...
16 Reactions
615 Replies
72K Views
Nimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa. Ngusero
0 Reactions
161 Replies
13K Views
Naomba niwafahamu wajumbe,maana nimeona insta TFF wakilaumiwa sana na hasa rais wa TFF amelaumiwa zaidi,kwa maamuzi waliyotoa. Pia naomba nijue,je wanatoa adhabu kwa matukio gani yanayotokea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari, je ni vipimo gani ambavyo wachezaji wa mpira wa miguu hupimwa kabla ya kusajiliwa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Januari 20, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Salamu, Nimesoma kwenye gazeti la Mwanaspoti kuwa Mechi ya Yanga na Singida United inachezwa uwanja wa Rites leo jioni .Naomba kufahamishwa huu uwanja upo wapi!/
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Vipi Tanzania jamani tutatoboa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hatimaye makundi kumi ya A-J ya kuwania nafasi tano za kushiriki Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 kwa nchi za Afrika yamepangwa. Ni haya yafuatayo: Kundi A: Algeria, Burkina Faso, Niger na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanachama wanawashauri kama yanga akifungwa au kutoka sare na singida United mnashauriwa uongozi na kamati tendaji wote mjiudhuru hamfai Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…