Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Direct to the point Leo ndio tuzo zile kubwa za kuwatunuku wanasoka Bora wa Africa. Ndani ya nyumba namuona mnyama kutoka Tanzania kipande Cha Madale Diamond himself ambaye Leo atatumbuiza kwenye...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Goli la penati halikuwa sahihi Meddie Kagere alivutwa nje boksi akadondokea ndani ya boksi,hapa refa aliyumba. 2. Yondani alistahili kadi nyekundu kwa kosa la kumvuta Meddie Kagere nje ya...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Golikipa wa klabu ya Simba Sports Club kutoka mtaa wa Msimbazi na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Aishi Manula, amefunga ndoa leo Jumamosi Januari 6, 2018 huko kwao Mkamba, Morogoro. Kwa...
5 Reactions
28 Replies
10K Views
Bila wasiwasi nyumbu leo anaukalia 5 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Ndio mwendo huo. ==== Malkia Strikers players celebrate a point during their Olympics qualifier against Botswana at Palais polyvalent des sports (Paposy) Arena in Yaoundé on January 6, 2020...
1 Reactions
2 Replies
884 Views
Klabu ya El Jadida ikiwa nchini Hispania wakicheza michezo mbali mbali ya kujipima nguvu.
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari!Nimekutana na jamaa mtandaoni anasema anauza matokeo ya mechi zilizonunuliwa,yani kuna mechi matokeo yake yanafamahika kabla hazijaingia uwanjani naskiaga hii kitu ipo kwa wenzetu wa nchi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia. Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
Habari ya Mwaka Mpya wa JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, baada ya wezi kuniibia vitendea kazi vyangu mnamo usiku wa 26/12/2019 kwenye mgahawa nilikuwa nimeuanzisha, kuanzia hiyo siku hadi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Wakati sisi yanga tukisema asante Mungu mwokozi wetu maana wewe unatoa ukitakacho na unatoa kwa utakaye na wakati utakao Pia tunaendelea kumwambia Mungu kuwa yeye ndo...
11 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu wa hili jukwaa, haswa wale wakongwe katika soka, mje mtujuze nani alikuwa bora haswaa katika eneo la golikipa kati ya golikipa wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Peter Manyika na mlinda...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
Nimeshangaa sana anadai penati ya Simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penati. Kama una unazi achana na unazi binafsi, nakukuheshimu sikuheshimu tena kwenye...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
MMOJA wa marafiki wa karibu na Mrisho Ngassa aliwahi kunidokeza kuwa mchezaji huyo anaipenda mno klabu ya Yanga na ana mchoro wa timu hiyo kwenye moja ya mikono wake. Stori iliyonisisimua...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nilishangaa kutokumuona Gerson Fraga katika First Eleven pia hakuwepo katika bench la wachezaji wa akiba mkude alikata pumzi mapema kipindi cha kwanza na nje hakukuwa na mbadala wake maana...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
KARIAKOO DERBY 'THE AFRICAN EL CLASSICO' NA KUTUNZA INARUHUSIWA . Imenichukua miaka kushuhudia punching saves Kama za Leo Alizofanya Shikalo, imenichukua muda kuona crazy footwork Goalkeeper Kama...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
Unapotaja Wachezaj Ambao Waliweza Kucheza Soka Ktka Kiwango Bora Ktka ULimwengu Wa Soka Katka Nafasi Za Kiungo Utawataja, Lothar Mathaus Ambay Inaaminika Ni Kiungo Bora Mzuiaji Kuwah Kutokea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuelekea mechi ya jana Hajji alikuwa anawaaminisha mashabiki wa Simba kuwa watashinda kwa magoli mengi sana,na kwasababu mashabiki wengi ni mbumbumbu (nikimnukuu mwenyekiti wa zamani wa Simba...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Tuwatakie safari njema! Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!! Wapeni...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Kitendo cha Molinga kutolewa na kwenye mechi dhidi ya biashara kilimuudhi akaamua kuondoka uwanjani si mara ya kwanza kuna mechi moja ya Ligi alitolewa tena timu ikiwa chini ya Zahera alionesha...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
HAJI MANARA ACHA KUVUKA MIPAKA, UMEWAKOSEA SANA WACHEZAJI WA SIMBA. Na Kulingwe Msafiri Mwanachama Simba Matalawe Njombe Moja kati ya mambo ambayo hunipa furaha sana katika maisha ya ulimwengu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…