Baada ya kusoma hili andiko mwanasport nikaona huyu Mchezaji ni mwehu na kuna wengi tu wa aina yake mfano Ajibu.
Nimekopi kama ilivyo kwenye gazeti la Mwanasport
MWAKA 2012 wakati wa Cecafa kule...
Habari wanaJamvi la Michezo
Mchezaji soka wa kulipwa wa Kitanzania, Mrisho Ngassa ameamua kuvunja mkataba na timu aliyokuwa akiitumikia ya Free State na sasa amekuwa mchezaji guru kujiunga na...
-Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji ametangaza kurejea kazini na bado yeye ni Mwenyekiti wa klabu ya Yanga. Kupitia barua yake iliyosomwa mbele ya wanachama katika makao makuu ya klabu...
Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia heri na baraka washabiki wote wa Man United.
Wajaliwe kuendelea kupata matokeo kama waliyoyapata msimu uliopita na huu unao endelea, kwa miaka mingi ijayo.
Kwa Liverpool fans wote nawatakieni heri ya mwaka mpya 2020! Pasi na shaka Liverpool bingwa wa EPL 2019/2020 ! Kama kuna timu ina ndoto ya hilo kombe basi iendelee kuota.
Sent using Jamii Forums...
Yanga na Biashara wamecheza Uwanja wa Taifa kwenye pitch iliyo bora kabisa. Cha ajabu Yanga wameshindwa kabisa kucheza mpira unaoeleweka. Wanabutua butua tu.
Najiuliza hivi afisa uhamasishaji...
Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR...
Hali si nzuri najua wengi hawatanielewa
Yanga ina hali ngumu nakwambia wachezaji wengi awachezi kwa moyo awajalipwa hela zao
Mbaya zaidi majuzi GSM wameomba kulipa malimbikizo ya wachezaji...
Paul Pogba's agent Mino Raiola has had a three-month worldwide ban from football activity lifted by Fifa.
It comes two days after the ban was suspended by the Court of Arbitration for Sport (Cas)...
Hivi nduguzangu wa Arsenal mnawezaje kuvumilia vipigo visivyokoma? Mimi shabiki wa United kwa experience ya miaka 6 tu ya vipigo tangu SAF atoke tayari nishachoka na najihisi kukonda, sasa nyie...
They are the best teams
They are the best teams
The main event
The master
The best
The great teams
The champions
A big meeting
A great sporting event
The main event
Baada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves
Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves...
SHUTI LILIKOKIUKA KANUNI ZA MWENDO ZA KISAYANSI
Kuelekea Kombe la Dunia la 1998, wenyeji Ufaransa waliandaa mashindano maalumu ya kupima maandalizi yao.
Wakati huo Kombe la Mabara lilikuwa...
Mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, ameendelea kuweka wazi kuwa, mipango yake na kuja kucheza filamu mara baada ya kustaafu soka iko pale pale...
VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana pamoja na kwamba liverpool wana timu bora na wanatakiwa kuwa mabigwa ila wanabebwa sana na VAR angalia mechi yao inayoendelea. duh.
Wolves amezidi kututengeneza njia Wana YNWA...
Poleni mashadiki man U,Chelsea,Arsenal na wote mliojificha kwenye kivuli Cha Mancity
Sent using Jamii Forums mobile app