Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyo ndio aina ya wachezaji wanaotakiwa hana tamaa ya fedha yeye ANATAMANI kuchezea Yanga tu. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Tar 7/12 nilikuwa pub moja nakunywa juice ya Ceres huku naangalia game ya Man City Vs Man U! Most of my guys walikuwa upande wa Man City na bet nyingi walimpa Pep Guadiola. Possession ya City...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Haruna Niyonzima amerejea rasmi Yanga SC akitokea AS Kigali ya nchini Kwao Rwanda, Haruna amecheza soka Tanzania kwa miaka nane mfululizo (2011-2019) na sasa anarejea tena rasmi...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Naaam. Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja[emoji116][emoji116] Who is the greatest player of all time?. Rio akajibu ni...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Wewe kama mtaalam wa kuweka mikeka unaweza kujilipua namna hii au utaendelea kuweka stake ya 1000 TZS ukitegemea Possible Outcome ya 6.8 M TZS....????
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Kama Uzi unavyoleza, Kipind Liverpool inaeleke kucheza final Tot Spur, kipind cha michezo cha saa tatu usku , watangazaji wa michezo walisema KLOPP hana uwezo/bahati kwenye finali, eti walitumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kwa kuangalia wingi wa mashabiki Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi ya Yanga. Kipindi Yanga anafanya vizuri na kipindi Simba anafanya vizuri. Mechi za Simba mikoani na Dar Es Salaam ndio...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Kumekuwa na purukushani kubwa kipindi cha Usajili hasa kwa vilabu vyetu vikubwa Simba na Yanga iwe kwa Wachezaji au Makocha hasa wa Kigeni.Pia tumekuwa tulisikia wachezaji au Makocha wa kigeni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kumfuatilia Sana Samatta akiwa na Timu Ya Taifa nimeamua Kuandika Huu uzii na Kusema kuwa Simon MSUVA ni Bora Zaidiiii Kuliko Samatta Katika Timu ya Taifaa, Bado Samatta hajaonesha...
12 Reactions
37 Replies
8K Views
Dah kwa mechi ile ya jana ya FIFA CLUB WORLD CUP 2019, imeonesha kuwa brazil (america ya kusini) ndiyo kitovu , cha mpira wa kandanda aseee , dah jana nilicheki mpaka mwisho nkajisemea , ULAYA...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau wa soccer njoo hapa tukutane tutoe mawazo yetu yupi ni mtangazaji bora wa mpira ambea huwa unavutiwa kumusikiliza? 10.DAVE FERRAL 9.JP DELLACAMERA 8.ANDRES CANTOR 7.STEVEN BOVER 6.JOHN...
3 Reactions
94 Replies
10K Views
Kuna formation nyingi za uchezaji wa soka, zunazofundishwa na kutumiwa na walimu mbalimbali. Je, ni nini faida ya timu kucheza kwa formation? Naombeni jawabu ©Bar Jonah, Melchizedek, Baraka...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Kocha wa Yanga, Mkongo Mwinyi Zahera amemvua unahodha beki wa kati, Kelvin Yondani 'Vidic' kutokana na utovu wa nidhamu. Yondani ambaye mwanzoni mwa msimu huu alitangazwa rasmi kuwa nahodha wa...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Urusi imefungiwa miaka 4 kutojihusisha na mchezo wowote duniani, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya udanganyifu kuhusu vipimo na maabara juu ya utengenezwaji na matumizi ya dawa za kuongeza...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
To be honest as the Young football club greatest fanastics I was worried about my club. Never mind the game between us against our greet opponent's satanic Simba sports clubs. It's my honour that...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Simba SC ambao ni Mabingwa wa Nchi, leo Desemba 11, 2019, imetangaza Kocha Sven Vander Broeck kuwa kocha mkuu mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems. Vander Broeck Mbelgiji, amewahi kuifundisha...
7 Reactions
132 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…