Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Karibuni wanajukwaa tujadili kwa hali na mwenendo wa vpl unazani ni nan atabaki top four nakufuzu international tournaments at end of season? Itapendeza ukaweka na bottom four zitakazo regulate...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Haji Manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yaani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Makaka wawili mashababi waliweka rekodi ya dunia mnamo Disemba 22 mwaka 2016 baada ya kupanda jumla ya ngazi 90 mmoja akiwa kichwa chini miguu juu kichwani mwa mwenzie. Makaka hao, Giang Quoc...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
mashabiki wa liverpool ndo wanawaza hivi, dah ngoja nipite hapo buguruni kimboka . nkapate ACID kidogo.. maana dah!!!! . karibuni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Licha ya kufukuzwa kazi Aussem hajalalama na kuzunguka kwenye vyombo vya habari ingawa inadhihirika kuwa hakuwaleta wabrazil na makosa si yake maana hawakuwa na mchango kwenye Championi League...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
BONDIA Hassan Mwakinyo amempiga mpizani wake, Mfilipino Arnel Tinampay kwa “majority decision’. Ndio, boxing ina ushindi wa aina tano; Knock-Out (KO), Technical Knock-Out (TKO), Unanimous...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hebu taja makocha waliofukuzwa na vilab mbalimbali ulimwenguni mwezi Novemba
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Habari ya leo, Humu ndani kuna mada mbalimbali za mipira, siasa, mapenzi, utani na nk. Bahati mbaya sisi wapenzi wa mieleka kutoka kona za dunia hii hatuna jukwaa letu. Naomba tukutane hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama nilivyokwisha kusema hapo juu, mwenye uelewa wa gym ya kawaida tu ambayo ina dips bars,pull ups bars na vifaa vingine kwa ajili ya weight na strength exercises ambayo bei yake haizidi 3000...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yanga na Simba huwa wanacheza huku wamevaa jezi za SportPesa na wanaonyesha mechi zao zote. Ligi ya Spain na Uingereza kuna timu kibao zinavaa jezi zilizodhaminiwa na makampuni ya betting na bado...
16 Reactions
33 Replies
5K Views
Miaka ya 1970 pale Amsterdam Uholanzi, alikuwepo binadamu mmoja wakuitwa Rinus Michels, binadamu huyu alituletea kitu kipya kwenye soka . Michels kama kocha hakutaka mchezaji wa namba moja pekee...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Unalikumbuka lile chama la Naples, pale kwa watu wa soka nchini Italia? SSC Napoli ilikuwa hatari chini ya mfanyakazi wa benki ambaye pia ni mzaliwa wa Naples, Sarri. . Soka lake lilitambulika...
3 Reactions
2 Replies
759 Views
Nimerudia Kiumakini kabisa na taratibu Kuangalia Mkanda mzima wa Pambano na Bondia Mtanzania Mwakinyo na Mfilipino na Kugundua ya kwamba Bondia Mwakinyo alizidiwa Alama ( Points ) Nne ( 4 ) zaidi...
11 Reactions
10 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imemfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems. Uamuzi huo umefikiwa na bodi ya klabu hiyo baada ya kikao chake.Uchebe amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Twitter Pia,Mbeya city...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Leo kwa mara ya kwanza nimempiga muhindi... hela zoote alizonipiga nimerudisha leo kudadeki..karibuni wadau tujumuike kwenye meza ndefu hapo baadae
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nachukua Nafasi Hii Kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya jemedari wetu Rais Magufuli kwa Kumlea Vizuri Mwakinyo na Kumtengenezea Mazingira Mazuri ya Ushindi Leo hakika mwakinyo umeiletea...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Dah kama shabiki kindaki ndaki wa Germany na ligi ya Bundersliga. Napenda kusema kwamba hili kundi letu ni nina sana tulilopo but tutashinda tuna vijana wengi Sana wabichi wenye vipaji hatari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa nyakati fulani, hawa walikuwa mastraika tegemeo kwenye vilabu vyao. Didier Drogba "The African James Bond" akiwa tegemeo kubwa pale Chelsea ilhali Wayne Rooney "Wazza" a.k.a "The White Pele"...
3 Reactions
110 Replies
9K Views
Live hapa kutoka uwanja wa taifa mabondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay wanavuliwa gloves zao zenye rangi nyeupe nakuvishwa zenye rangi ya bendera ya taifa la yeye mbarikiwa mtukufu alietukuka...
2 Reactions
134 Replies
15K Views
Katika hali ya kushangaza wale madada waliokuwa wanatangaza round eti walivaa vipedo,hali ile ilimsikitisha kila mtu hata kumfanya Mwakinyo kuchelewa kumaliza mpambano. Mwakyembe nilimuona...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…