Baada ya kurudia kuangalia hizi highlights nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mwakinyo ameshinda, kapiga point nyingi kuliko mpinzani wake japo kwa jicho la mtu asiyejua sheria za ngumi na how to...
Jana usiku muda wa saa nne kulikuwa na pambano ya ngumi kati ya Mwakinyo na Mfilipino.
Mimi niliushuhudia pambano hilo tangu mwanzo mpaka mwisho. Kwa maoni yangu bila kupepesa macho Mwakinyo...
Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger.
Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa...
Pambano la jana kati ya Mwakinyo na mfilipino baada ya kuisha. Watanzania wengi tumejitahidi kuelezea hisia zetu juu ya hili pambano. Na nimesikitika kuona watanzania wengi wanalalamika kuwa...
Ni mwishoni mwa Wiki iliyopita tu GENTAMYCINE nilianzisha Uzi hapa wa ' Kukasirishwa ' na Kitendo cha Kocha wa Taifa Stars pamoja na TFF yake Kutomjumuisha Kikosini Kipa ' mahiri ' na Tanzania One...
Sijaangalia pambano na sina hobby na mchezo wa ngumi. Lakini naona kuna utata ushindi wa Mwakinyo.
Mnataka kusema ule mchezo wa kununua mechi ulihamia kwenye pambano hilo?
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu
Tukiacha tu utan aliyekuwa nyota wa Chelsea na sasa kocha wao frank lampard ni bonge la kocha
Kwanza hana mchezaji tegemeo wa kuweza amua matokeo kama team...
ORTHODOX AND SOUTHPAW
Kwenye ndondi, usimamaji wako huweza kuelezea aina yako ya mchezo.
Kwenye ndondi watu hawasimami Kama askari, mguu sawa, au mguu upande.
Ndondi mtu husimama akitumia akili...
Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa
Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa...
Licha ya kelele alizopigiwa hapa nyumbani jana tena kadhihirisha kuwa yeye ni mfungaji baada ya kutikisa tena nyavu za ligi bora na kubwa duniani na ulaya na kumfunika hata Cr 7 kwenye ufungaji...
Samuel Eto'o Staa wa zamani wa vilabu vya Barcelona, Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka mwezi Septemba amefichua mipango yake ya kwenda kusoma Harvad!
...
Siku moja katika mwaka 1964 nikiwa Prague, Jamhuri ya Czech, nikisomea uandishi wa habari niliingia hoteli moja ndogo kando kando ya mto Danube.
Nikiwa ninafurahia chakula ghafla watu walisimama...
Arsenal have sacked head coach Unai Emery after the club's worst run of results since 1992. Former Arsenal winger Freddie Ljungberg steps in as interim head coach
Arsenal are without a...
Wazee wa mikeka pengine ni moja kati ya watu wavumilivu sana maana inaweza tokea umebakiza mechi chache ujione milionea mwisho wa siku inabaki kuwa ndoto, Pamoja na hayo huwezi kuliwa kila siku...
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa na FIFA leo vinaonesha kuwa Tanzania imeshuka nafasi moja katika hivyo na kufikia nafasi ya 134, kutoka 133. Aidha, Kenya imepanda nafasi mbili na...