Licha ya kubadilisha makocha kila leo, bado tumekuwa tukipoteza mechi karibu zote. Ingawa siwezi kukumbuka majina ya makocha wote tuliobadilisha kwa kuwa sio mfuatiliaji mzuri wa mpira, angalau...
Baada ya juzi golikipa Gianluigi Buffon kuweka rekodi mpya ndani ya Serie A ( Ligi Kuu ya Italy) ya kucheza dakika 974 bila kuruhusu wavu wake kuguswa, wengi wameanza kumpa sifa ya kuwa anastahili...
Juzi wakati Simba Sports club ikitafuta miwa ya Kagera Sugar kisawasawa, kiungo wa Kegera Sugar Gift Mauya alimchezea rafu za Makusudi zaidi ya moja kwa wakati mmoja mchezaji wa Simba Ibrahimu...
Na kuna Fowadi Mmoja huyo achilia mbali yule Kalengo huyu anaitwa Kapumbu ambaye hapa Dar es Salaam alifichwa ' Kimkakati ' ila huko Zambia ataanza hivyo sioni kama ' Wapuuzi ' fulani ' Watatoboa...
Hukuteuliwa na Rais JPM ili uwe unaikomoa tu Simba SC kila inapokuja huko Mkoani Kwako Kagera kucheza na Timu yako ya Kagera Sugar bali uliteuliwa ili uwe ' Fair ' kwa Wageni wote ambao watakuwa...
Hayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi?
Angenyamaza angikosa nini
Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu
Inaonyesha wanamheshimu RC
Kuelekea patashika ya ligi kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL), nyasi za Uwanja wa Kaitaba Stadium, mkoani Kagera kuwaka moto ambapo leo September 26, 2019 Kagera Sugar, Wana Nkurukumbi...
Ukiangalia timu inavyocheza dhidi ya Zesco huoni km Yanga inakocha. Mpira wanacheza kwa papara sn hakuna mipango yoyote wanayoifanya. Kulia anamuweka benchi Juma Abduli anang'ang'ania wachezaji...
Kwa kitu kilichotokea kwenye fainal hi Africa bado Sana kufikia mafanikio Kam ya Tim za ulay ,, fainal Hain mvuto mechi imejawa na vurugu mechi Kam ndondo cup vurugu tupu
Huwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye...
Leo saa 10 jioni kunatarajiwa kuwa na game Kali Kati ya kagera sugar vs simba.simba imeshinda game 1 pekee Kati ya game 5 za mwisho waliokutana na kagera sugar na kagera kashinda game 4.
Bad news...
LONDON, ENGLAND. Balaa zito. Ole Gunnar Solskjaer kwa sasa hana pakujificha baada ya mashabiki wa timu anayoinoa, Manchester United kupoteza imani na kutaka afukuzwe tu kabla ya hali haijawa mbaya...
Mshambuliaji mwenye asili ya Guinea kinda Lamine Diaby-Fadiga anayekipiga na klabu ya Nice (Ufaransa) anatuhumiwa kuiba saa ya mchezaji mwenzake nyota aliyesajiliwa kutoka Ajax, Kasper Dolberg...
DIRECTOR OF FOOTBALL NI NANI? ANAFANYA NINI NDANI YA KLABU?
MICHAEL Zorc. Anatajwa kama 'director of football' bora zaidi duniani. Amekua akiifanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa akiwa...
DIRECTOR OF FOOTBALL NI NANI? ANAFANYA NINI NDANI YA KLABU?
MICHAEL Zorc. Anatajwa kama 'director of football' bora zaidi duniani. Amekua akiifanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa akiwa...
MANCHESTER, ENGLAND.
TANGU Sir Alex Ferguson aondoke, Manchester United imebadili makocha mara nne. Kila anayekuja, anaonekana hafai na kufunguliwa mlango wa kutokea.
David Moyes hakumaliza mwaka...