Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Singida ni kama Simba tu kwetu. Huu ni mti wa mwembe wa uani. Unajichumia tu maembe. Singida toka ianzishwe sikumbuki kama imewahi toa hata draw na Sisi Wamba. Never. And never. It will never...
3 Reactions
22 Replies
680 Views
Goli Bora huwa na mambo yafuatayo. 1. Umuhimu wa goli 2. Limefungwaje 3. Juhudi na weledi wa mfungaji 4. Ubora na defensi ya waliofungwa. Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala...
5 Reactions
17 Replies
666 Views
Utulivu, Malengo na Focus za wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Kuna namna naona hii timu safari hii haijadhamiria sana taji la Ligi (japo hii inatokea tu automatically kutokana na ubora...
12 Reactions
10 Replies
765 Views
Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania. Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko...
7 Reactions
39 Replies
871 Views
Waitaliano ni moja kati ya watu wenye akili nyingi sana. Ni jamii ya watu wa kale walio staarabika tangu enzi na enzi. I put them in the same space as the Ancient Egyptians, Ancient Greeks and...
4 Reactions
18 Replies
944 Views
Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane...
10 Reactions
6 Replies
513 Views
https://www.instagram.com/p/DB0L5LSqoqf/?igsh=dzU1cXNoMGlrM2F5
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
5 Reactions
327 Replies
16K Views
Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida. Mcameroon huyu...
4 Reactions
28 Replies
992 Views
Sikupenda goli walilofungwa mashujaa lakini iwe fundisho kwa wale wapoteza muda mwisho wa siku imewagharimu. Hongera simba kwa pointi tatu za jioni! Angalizo man of the match ni johora! PIA...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza ni jinsi gani ntaweza kusaidia kujenga uwanja wa BASKETBALL mtaani kwangu kwa muda mrefu sasa, sina kiasi cha pesa cha kutosheleza kwasababu mimi pia ni mwanaharakati...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni, Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
3 Reactions
25 Replies
871 Views
Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders. Imagine wao wataishia kuziona team...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika. Shamrashamra...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya...
2 Reactions
7 Replies
492 Views
Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu. Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
4 Reactions
15 Replies
501 Views
Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga. Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa. Wakati Ateba kaja...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…