Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huu ndio ukweli ninaoujua , na hili linachangiwa sana na Abramovic kutokulifahamu soka , na ndio maana aliweza kumwachia timu kocha wa ajabu Avram Grant. Huwezi kuacha makocha wote bora wa dunia...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
wote tunajua kwamba simba walinunua eneo huko Bunju na kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira . uwanja ule ulifikia hatua ya kuagiza nyasi bandia toka china. nadhani bwana pop anakesi juu ya jambo hilo...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Hakuna mchezaji ulioumiza kama wa Eden Hazard kutoka Chelsea kwenda kwenye viunga vya Madridi,umeumiza mno . Ni shabiki gani leo wa Chelsea aliyesahau uwepo wake? Kila niliyemsikia pale OT alikuwa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Chama langu mwenyewe Ushindi ni Lazima
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi aliewaloga ni nani mpaka mnaviogopa vile viti vya uwanja wa taifa? . Basi nendeni hata mkashangilie mmesimama. . . Mfyuuuuu,, kwani mkoje? Kocha Zahera aliacha maelekezo na amerudi jana ndo...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Katika Summer slam alfajiri ya Leo , mtanange mkali uliokuwa ukisubiliwa na wengi, moja ya pambano ni kati ya Brock Lesnar na Seth Rollins Pambano limemalizika kwa Seth kushinda ,tofaut na...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Klabu ya Bayern Munich yachachafya Rottach magoli 23 !😂
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanayanga ni km tumerogwa,hatuna hamasa si ndani wala nje ya uwanja.Hata tuhamasishwe vp tuko bardiiiiii!!! Viongozi nao wapo kimya wala hakuna mpango wowote wa kuwaita mashabiki kesho uwanjani...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
2005--Young African's Sc 2006--Young African's Sc 2007--Simba Sc[mini_league] 2007/2008--Young African's Sc 2008/2009--Young African's Sc 2009/2010--Simba Sc 2010/2011--Young African's Sc...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
# ifahamu kiundani club ya simba sports, club pekee Tanzania iliyo wai kubadirisha jina zaidi ya ya mara tatu.. Bofya link [emoji115] hio kujua zaidi
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Daah!! Game ya Jana ilikuwa tamu sana ingawa ndo hivyo MAN U WALICHOMOKA NA POINT 3 HEAVY..... Mm ni shabiki mkubwa wa Chelsea kwa utangulizi....approach ya game kwa Jana Man u walikuwa wapo...
4 Reactions
9 Replies
981 Views
Timu ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 wakiwa kama waalikwa wameingia fainali katika mashindano ya COSAFA dhidi ya Zambia huko Afrika ya kusini. Mchezo umeshaanza, sasa ni dakika ya 34 ya...
10 Reactions
53 Replies
6K Views
Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko... kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
1. Manchester City 2. Arsenal The Gunners! 3. Liverpool FC 4 Tottenham Hotspurs 5. Chelsea FC 6. Manchester United Tukutane baada ya ligi kuisha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Chelsea, Frank Lampard ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu Lampard aliyekuwa akiinoa Klabu ya Derby County anaenda kuinoa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu tuweke ushabiki pembeni,Hivi Zahera amejitolea kwa Yanga kwa moyo wote? Naona huyu kocha kuna mission yake anatekeleza pale kwenye Yanga . Mwanzoni alipokuja alikuwa anavaa nguo za kampuni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Heeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga. Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Game itarushwa live AzamSportsHD na AzamSports2 Livestream link ya Simba Sc https://www.youtube.com/channel/UC3W0zHzX_Iu3lJ20bOfYUeA?view_as=subscriber
8 Reactions
121 Replies
17K Views
Hakika Klabu ya Simba ni kipenzi cha Watu,pamoja na kuhamasisha Simba Day kwa siku 3,sherehe kufanyika siku ya kazi Watu wenye Simba yao wakaujaza Uwanja wa Taifa na kuingiza jumla ya Sh.380...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…