Coastal Union VS Yanga SC
NBCPremierLeague
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Tarehe: Novemba 26, 2024
Muda: Saa 10:00 jioni
Mechi imeanza karibu kupata burudani ya Soka
Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo.
Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni...
Najua wengi mnatawaliwa na ushabiki mandazi lakini hamuwezi kuona kile ambacho mastermind wa SBS anakiona.
Niliwahi kuanzisha huu uzi Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila...
Ukweli acha usemwe tu Yanga inatimu nzuri sana kwa misimu hii minne tangu alivyokuwa kocha la mpira Nabi hadi sasa Master Gamond ambaye anarekodi zake nzuri kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu...
Moja ya mechi ngumu mikoani ni pamoja na hawa wanajeshi wa mpakani, Mashujaa, msimu huu wako vizuri sana, leo nimewaona wakiipelekesha Fountain Gate pale Kirumba na ilikuwa waondoke na point 3...
Yeeeerrrrreeeeh
Mimi siyo shabiki wa Man U lakini nachukia sana ubaguzi kwenye mpira hasa vijana wetu waafrika weusi wanavyobaguliwa.
Huyu mdachi Ruud van nistelrooy kocha mpya wa muda wa...
Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona.
Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa...
Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee...
Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema:
Juventus Academy Tanzania...
Habari!
Kwa mtu aliemfatilia Jamaa Kwa hizi games zote alizocheza Kwa playing style ya Simba na anavyocheza yeye hafai kabisa na soon mtakuja kukubaliana na Mimi.
Ni Mzito Balaa na anachoka...
Wakuu kwema!
Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri...
Ndugu zetu Simba msimu huu wamekuja na kauli mbiu hizi, Yanga anabebwa, Yanga ananunua mechi, GSM anatuharibia ligi na kuna muda wakipagawa zaidi utawasikia wanasema Yanga imeshuka kiwango.
Maoni...
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa...
Nataka kuonyesha kuwa mashabiki wengi wa Ronaldo hawana akili japo sio wote kuna vipengele hapa nitaviweka hapa na utambue kuwa wewe kama utaamini Ronaldo ni bora kuliko Messi basi Huna akili...
Yes.
Kuna mastaa wengi kutoka nchi zingine tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini n wengine bado wapo hata sasa baadhi yao ni kama hawa hapa
Musonda
Francis Kahata
Yaw Berko
Amis Tambwe
Haruna...
Mapema leo Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni,Sanaa na michezo Gerson Msigwa amkabidhi shilingi Milioni 5 bondia Abdul Ubaya kama zawadi Mara baada ya kushinda pambano lake lililofanyika oktoba...