Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii sasa ni dhahiri kwamba tatizo si Maombolezo tena ( Maana yameisha kwisha ) , bila shaka tatizo laweza kuwa kuishiwa haki ya kuonyesha kabumbu la Afcon . .........Kama siyo DSTV potezea kabisa .
4 Reactions
59 Replies
7K Views
you hear about sponsorship 1xbet with Chelsea? OMG 😮 https://1xlmq.world/en/ourpartners/chelsea/
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Tumeshuhudia Lionel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018 tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya...
8 Reactions
134 Replies
16K Views
Aliyekuwa beki wa Simba SC Zana Coulibaly amewasili katika uwanja wa ndege wa N'Dijili uliyopo Congo Kinshasa kwa ajili ya kukamilisha usajili wake na club ya AS Vita ya Congo, Zana aliachana na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Bondia gwiji Man Pac amempiga tozi nyangema Keith Thurman katika pambano liloenda mpaka round ya 12. Round ya kwanza Thurman alidondoshwa chini kwa ngumi za kushtukiza za Man PAC. Kiufupi round...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imemfungia maisha mwamuzi wa zamani wa kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Chama Cha Waamuzi Tanzania (FRAT) Oden Charles Mbaga kwa kujihusisha...
4 Reactions
45 Replies
14K Views
Latest CAF Clubs ranking TOP 70 1.TP Mazembe 🇨🇩 2.Wydad Casablanca 🇲🇦 3.Al-Ahly 🇪🇬 4.Espérance de Tunis 🇹🇳 5.Mamelodi Sundowns 🇿🇦 6.Étoile du Sahel 🇹🇳 7.Zamalek 🇪🇬 8.Horoya 🇬🇳 9.USM Alger...
16 Reactions
82 Replies
12K Views
Kesho ni siku nzuri kwa wapenzi wa ndondi, dunia itashuhudia mapambano ya kuvutia kati na 'Legend' aliyegoma kustaafu Senator Man Pacquiao kutoka ufilipino dhidi ya bingwa anayeshikilia mkanda wa...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Wadau nadhani ni wakati muafaka wa TFF na Bodi ya Ligi kubadilika kiutendaji. TFF na Bodi ya Ligi wamekuwa na kawaida ya kupanga ratiba kabla ya CAF kutoa ratiba yake hali ambayo inapelekea TFF...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na Simba itabeba ubingwa wa caf champions league msimu ujao sasa tumerahisishiwa Shirikisho la soka Afrika limebadili sheria ya mechi za fainali sasa mbungi kuputwa uwanja usio na...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo Argentina amefuta uteja kwa Chile kwenye Copa America na kujinyakulia ushindi wa tatu japo Captain wao akitolewa nje kwa straight redcard dk 38 tu ya mchezo huo. Kwa matokeo hayo ni wazi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi Usiku wa Leo utakuwa tulivu, amani Na usingizi mnono usiokuwa Na bugdha. Aidha kesho pia tutashinda kwa furaha Na amani. Hawa watu kwa mdomo tu dah afadhali wametulizwa kama wa...
7 Reactions
62 Replies
6K Views
Hizi ndio Kampuni za kubeti tanzania
1 Reactions
11 Replies
25K Views
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inatazamiwa kuanza kutimua vumbi ijumaa tarehe 21/06/2019 kwa mechi kati ya wenyeji Egypt dhidi ya Zimbabwe Michuano hiyo itahusisha mataifa 24 ambayo...
32 Reactions
3K Replies
220K Views
Wadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Wakuu huyu jamaa mwanzo mwisho amekuwa jukwaa la VIP,tena kiti special ,hata ile kombe ndo alileta mezani,kwanini huyu jamaa kachaguliwa kuliko wachezaji wote waliopita au kuliko wote waliostaafu?
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Kwa miaka 39 hatukuwahi kuingia kwenye mashindano ya Afcon...now tumepata nafasi...naona watanzania wanaiombea vibaya timu yetu...kweli sisi watanzania Ni pasua kichwa...Mungu atusamehe...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Baada ya kushinda Uefa na hivi leo kama atashinda Afcon ni jambo lisilopingika, Sadio Mane anastahili kuwa mchezaji bora wa dunia.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kufutia "comments" alizozitoa mshambuliaji wa FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi,kwenye mchezo uliowakutanisha Argentina na Brasil Kwenye mashindano ya COPA AMERICA chama...
2 Reactions
83 Replies
7K Views
Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…