Nimeshangaa timu bora ya Africa inamsajili Singano hlafu wanawauza wachezaji wao tegemezi wawili kwenda Ubelgiji ambao ni Meshak Elia na Zola
Singano ana miaka 27 ataipa nini TP Mazembe? Angekuwa...
African Sports Today
Yesterday at 8:34 AM ·
According to the CAF club ranking, the following (16 clubs ) stand a chance to be given a bye from CAFCL preliminaries (Round of 64) to CAFCL 1st Round...
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo...
Kwanza poleni kwa msiba uliowafika. kwa dhati kabisa.
Siku kadhaa sasa nafuatilia program mbalimbali za Azam jambo moja la bayana program zote zipo palepale ikiwa ni pamoja na nyingine za live...
Source:
Azam Tv Dk 90
Jumatatu
Mtangazaji:
Ahmed Ally
Wachambuzi:
Abdul Mkeyenge
Charles Abel
Ally Kamwe
Mwenye bahati habahatishi!
Kila la heri Ramadhani Singano
Kama kawaida, Singano...
Hana vigezo vya kutwaa tuzo hiyo na wala hakuwahi kuwa navyo , ifike mahali dunia ya michezo isione aibu kuwapa tuzo wachezaji wanaostahili hata kama ni walewale kwa miaka 20 .
Usishindane na...
Wewe bwana mdogo tumekuvumila siku nyingi sasa inatosha
Kama Namba ya Taifa stars kapombe yupo tayari kustaafu akuachie ila acha kumpiga kipapai mwenzako anafamilia inamtegemea
Nyie mmetoka...
Wakuu, kama tulivyoona timu mbili tulizo pangwa nazo kwenye makundi zote zimefika fainali
Algeria wameifunga nigeria 2-1,Senagal wameicharaza Tunisia 1-0 (hatua ya nusu fainali)
Kwa...
Naona zamu hii wazalendo kutoka pande na fani tofauti tofauti wanapita katika misukosuko ya hapa na pale.
Baada ya jana mzee Makamba na Kinana kumburuza mwanaharakati huru Cyprian Musiba mbele ya...
Hii ni kwa mujibu wa mtendaji mkuu wa Simba kwamba Simba haikwenda kuweka kambi Marekani kwa kuhofia joto na wameenda South Afrika kwenye baridi.
Amesisitiza kuwa tatizo siyo ukata bali tabia...
Mashabiki wengi tanzania hawana ufahamu juu ya maswala ya jezi za mpira na makampuni yakuteng’eneza jezi hizo.
Kupitia uzi huu tutaeleweshana kuhusu maswala ya jezi na makampuni.
Timu inatakiwa...
Wakuu hiki jina Taifa stars nani aliipa timu yetu yaTaifa? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?
Ninadhani kunapokuwa na mafanikio kwa timu ya Taifa ni fursa pia ya kutangaza alama...
[emoji460][emoji460] SIMBA SPORTS CLUB [emoji460][emoji460]
Mr Zakayo Junior
Simba ya msimu huu ni nzuri na imekamilika kila IDARA na ina watu makini na watulivu sana kiuchezaji na ktk kufanya...
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi...
...watu wameshafanya yao. Mzee Kilomoni sio tu kuwa si mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa Simba bali kisheria hayumo hata kwenye baraza lenyewe. Asipotoa hati ajiandae kwenda jela uzeeni. Bado...
Ukiangalia timu ya taifa ambayo haijawahi kuleta matunda yoyote kwa taifa hili inaundwa na Mkoa wa dar es salaam kwa zaidi ya 80%
Pendekezo langu timu ya taifa uindwe kwa uwakilishi wa kimikoa au...
Nimekaa natafakuli hv kulikuwa na sababu gani ya msingi Yanga wasipeleke timu kwenye mashindano ya Kagame? Je simba walishindwa nn nawao kupeleka timu yao kule?
Mbona TP mazembe na KCCA pamoja...
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao
Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa...