Naam...Baada kumalizika kwa msimu wa ligi kuu ya Tanzania TPL, 20 18/2019 na klabu ya Simba SC kutawazwa kuwa Mabingwa wa Tanzania kwa mara ya pili mfululizo, hatimaye ile safari ya kwenda Afrika...
Africa change World Cup qualifying format for 2022
By Reuters
22 hours ago
CAIRO, July 15 (Reuters) - African teams will contest a final playoff round in their World Cup 2022 qualification...
Wadau Mabingwa wa kihistoria Yanga jana wameshinda mechi yao kwa kuifunga timu ya huko Morogoro magoli 10-1.Hakika ni ushindi mnono lakini je hiyo timu ni ya daraja la ngapi?
Waziri wa Michezo wa Nchi ya Cameroon Profesa Kombi ametangaza kwamba Clarence Seedorf hatoendelea kuwa kocha wa Timu ya Taifa hilo kuanzia sasa .
Bado haijatangazwa atakayetwaa nafasi yake
Habari za mda huu wapenzi wa mpira wa miguu Nani anaemfamu huyu kiungo fundi wa ALLIANCE SCHOOL kiufupi jamaa kakamilika nikimuangaliaga dimbani simtofautishi na JONAS MKUDE.
Nazipa ushauri team...
Alitupatia miaka yakucheka, kushangilia na kuunganishwa kama wa Tanzania kupitia michezo.
Na nakiri hata wasiojua Mpira Enzi izo waliufahamu kwa namna moja ama nyingine, walishangilia ama...
Mechi ambayo ilikuwa size yetu ni ya Kenya tu! na si saizi yetu kwa maana
ya kutulazimu kushinda la hasha! bali ni saizi yetu kwa maana ya yeyote kumfunga
Mwingine.
Sasa si mmejionea tuliopangwa...
Wachezaji na benchi la ufundi wakipewa semina elekezi kuhusu malengo ya club kwa msimu ujao.
Simba ambaye anatarajiwa kuwa bingwa mara 10 mfululizo anajiandaa kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya...
Beki namba 3 wa Yanga na taifa stars Gadiel Michael ameondoka Leo kuelekea south Africa katika klabu ya Bidvest Wits inayoshika nafasi ya 2 kwenye ligi kwa majaribio ya wiki 2 hata hivo Bidvest...
Messi ameonekana kuwalaumu waamuzi waliochezesha nusu Fainali kati ya Argentina na Brazil.
Argentina wamepoteza mehi mara tano mfululizo mbele ya wapinzani wao wa jadi Brazil
Brazil wametinga...
Senegal imeshatinga fainali na Taifa stars imeshafanikiwa kushika nafasi ya 24 kati ya timu 24.
Basi tusubiri fainali tuujue ukweli lakini pia jibu tunaweza kulipata baada ya mechi ya Algeria vs...
Kwa wapenda MICHEZO leo hakuna kutoka,macho kwenye tv
1.Wimbledon final Djokovich Vs Federer
Victoire
2.British grand Prix..Lewis Hamilton won the race
3.Cricket world cup England Vs New Zealand...
Kutokana na Mauzo ya Mshambuliaji Antoine Griezmann jana mchana kwa kiasi cha €120 Million hivyo kufikisha mapato ya Atletico Madrid kwenye mauzo ya wachezaji wao ndani ya miaka 10 hii ni €1,080...
UNAKUMBUKA SIMBA KUITWA UNDERDOG!!!
wakati simba inaingia makundi msimu ulioisha waandishi wa habari wengi waliibeza simba kuwa ni underdog...walibeza aina ya wachezaji wa simba wakiilinganisha na...
Ukisikiliza sana kelele za mashabiki wa messi unaweza changanyikiwa huku takwimu za wachezaji bora copa america zinaonyesha tofauti kabisa.
Kwenye list ya wachezaji bora copa america tangu 1983...