Matangazo yao yalikuwa yanaeleza kwamba wataonyesha mechi zote. Leo hawaonyeshi Mali na Ivory Coast, tatizo nini?
Cha kushangaza wamezifunga KBC/UBC ambazo zinaonyesha.
Pamoja na Mazuri na upendo aliotuonyesha watanzania Marcio Maximo alionekana hafai alitimuliwa
Wakapita walimu kadhaa hapo kati akiwemo mzawa Ndg Mkwasa wakaondolewa.. Amunike mkufunzi wa ufundi...
Pamoja na kwamba Nigeria wana asili ya kudharau mataifa mengine ya africa lakini amunike amezidi.
Kwanza aliwadanganya tff kwamba yeye alikua mchezaji nyota pale barcelona.. ukweli ni kwamba kwa...
Hii ni timu iliyobeba ubingwa wa La Liga 2013/14. Mchezaji pekee aliyesalia mpaka sasa ni Kiungo Koke Resurrecion ambaye ndio atakuwa nahodha rasmi kuanzia July 1.
Kufuatia kuondoka kwa wachezaji...
Ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea pale La liga, Alijiunga na club ya Real madrid mnamo mwaka 2007,
Huyu ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa...
Aliyekuwa Mkufunzi wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ametupiwa virago vyake kwenye mfuko wa rambo na nafasi yake imechukuliwa na Peter Manyika.
Haijafahamika hasa sababu za Pondamali kuondolewa...
Bado napiga mahesabu huu usajili wa GRIEZMAN ndan ya kikos cha barcelona najaribu kuvuta picha ya wachezaj waliofos kwenda BARCELONA na mwisho wa siku wakapotea kabisa na aina ya mfumo ndan ya...
Alikuwa mchezaji wa Azam FC Ramadhani Singano maarufu Kama Messi amesajili na TP Mazembe ya Congo.
Mazembe wanaamini Sinagano ana kipaji kikubwa na chini ya uangalizi wa na malezi anaweza...
futebol's greatness is painted Verde Amarela.
​
"Luiz Gustavo (27): One of Brazils most consistent performers over the past 2 years, ever since he got...
Klabu ya Yanga Leo imetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kuzalisha na kusambaza vifaa ya Yanga kuanzia jezi rasmi ,za mazoezi, skafu na tracksuit.
Swali la msingi Ni je GSm wamewahi...
Mojawapo ya wachezaji wenye vipaji nchini ni Mohamed Ibrahim MO!Inasikitisha sana kuona Simba alishindwa kuendeleza kipaji chake! Sijui Tatizo nini Naomba kujulishwa huyu kijana amesajiliwa wapi!
Leo tarehe 11 Julai Shirikisho la Soka nchini(Tanzania Football Fedaration-TFF) limetangaza Kocha wa Azam FC, Ndiyaragije Etienne, kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’.
Kocha huyo mpya...
The sound of drum beats, hand claps and women singing fills the air at a shrine in Cotonou in the West African nation of Benin, homeland of voodoo.
But these days the ceremonies are a little bit...
Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi...
Mzee Kilomoni na katibu wake wako live katika kipindi cha 5 sports cha EATV anawachanachana mabeberu na hawa watangazaji uchwara wa hiki kipindi.
Kiukweli huyu mzee ni mzalendo anasema Simba...