Nimefurahishwa sana na Raisi wa TFF kukaidi wito wa Waziri Mwakyembe,,
TFF ni taasisi huru,,haingiliwi na mtu yeyote nje ya sheria za Soka.
Kocha wa TAIFA alitafutwa na TFF ,,wao ndio wameona...
Hakuna ubishi Amunike na Zahera walikuwa hawana mzaha kuhusu nidhamu ya mchezaji ndani na nje ya uwanja.
Simba hawakuwa vizuri na Amunike alivyowaadhibu wachezaji wa Simba walipochelewa kuripoti...
Inashangaza sana tena zaidi ya sana kuona timu Za wachezaji wanaokipiga timu zinazoshiriki ligi hizo mbili kuwa na kiwango kibovu mno na kufanya mashindano yasivutie kabsaa.
Hasa athari hii...
Ni baada ya team kuzengua huko Misri,bila shaka zahera hakurudi maana kuanzia mwezi wa nane atakuwa na team moja tu ya vyura vyurani anaenda kufukuzwa national team na ole wenu mumchelewesheee...
Club ya Fiorentina ya Nchini Italy leo hii imeonesha umwamba wake kwa kumchakaza Val di Vassa Team goli 21 - 0 bila ya huruma kwa wastani wa kupata goli kila baada ya dakika 4.45.
Katka moja ya tukio ambalo nila kusikitisha a kufedhehesha ni lile lililomtokea mchezaji wa Senegal Kripin Diatta katka mchezo dhid ya Tanzania ambapo alifanyiwa ubaguzi hadhari na ndan ya bara...
Baada ya Tff kuachana na Ammunike kama kocha mkuu wa Timu ya Taifa,kocha wa muda amepatikana nasasa aliyewahi kua kocha wa Azam fc na Simba Sc, raia wa Cameroon, Joseph Omogi amekabidhiwa jukumu...
Taifa Stars imetolewa kwenye mashindano ya fainali za OFCON za mwaka 2019, kwa kushindwa mechi zote tatu za awali.
Lakini kufukuzwa kwa Emanuel Amunike kuwe ni kigezo cha kuanza kuwatayarisha...
Michuano ya Bara la America ya Kusini maarufu kama "Copa America" inaanza Juni 14 mpaka Julai 7 mwaka huu nchini Brazil.
Michuano hiyo itashirikisha jumla ya timu 12 ambazo zitakuwa katika...
Kama ilivyo ada, kikosi kina majina makubwa sana, lakini baadhi yao wamekosekana kama vile Mauro Ircadi.
Je kwa kikosi hiki, Messi anayo nafasi ya kushinda taji lake la kwanza akiwa na timu ya...
Chanzo :blog ya saleh jembe
https://salehjembe.blogspot.com/2019/07/exclusive-pamoja-na-matusi-ya-amunike.html
***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa...
Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuanza kutimua vumbi Agosti, 23 mwaka huu katika viwanja tofauti hapa nchini.
Ligi itafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambao ndio huashiria ufunguzi rasmi...
Bila shaka bila ubishi bila ajizi Taifa Stars ya Mbrazil Marcio Maximo ndiyo iliyoweka rekodi ya mafanikio kuliko wakati wote katika historia ya Tanzania.
Timu za jirani zilikuwa hazitusumbui...
Hakika mficha maradhi kifo humuumbua ndio kauli nzuri ya kusema kwa sasa
Hali si shwari ndani ya club ya Simba wajumbe wanaoiwakilisha timu wanalalamika chini kwa chini wanasema hawashirikishwi...
Kocha Emanuel Amunike katolewa kafara.Mchawi wa Taifa Stars ni Rais wa TFF na wasaidizi wake.Nilitarajia Rais wa TFF kama kaamua kumfukuza Kocha Amunike basi na yeye Rais wa TFF angejiuzulu...
Natumai ndugu zangu ni wazima wa afya,poleni na majukumu ya kila siku.
Hivi karibuni timu yetu ya Taifa imetoka katika Mashindano ya AFCON ambapo kila MTanzania ameguswa na kufanya vibaya kwa timu...
Yesterday our minister for information, culture, art and sports Mr Harrison Mwakyembe met various so called stakeholders to try to form some kind of strategy regarding developing football in our...