Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu...
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania...
Jamani, Jamani hii YANGA ni balaa jingine ktk Nchi hii ndani ya NBC LEAGUE!
Haya tena Wananchi kama kawaida, ktk kuendeleza kuandika historia nyingine baada ya hii ya kuwakanda watani mara nne...
Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba...
MALIZANA NAO MAPEMA
Ili uwafunge Yanga wafunge mabao zaidi ya moja kipindi cha kwanza, ili wakirudi wawe na mlima wa kusawazisha na kutafuta ushindi...yaan MALIZANA NAO MAPEMA.
Half time talk...
Kama umemfuatilia Che Malone ni beki aliye na uwezo wa kupiga chenga, ana nguvu, ana composure nzuri akiwa na mpira, ana uwezo wa kufunga na kukimbia na mpira. Haya yote anayafanya akiwa anacheza...
Kuna siku nadhani msimu uliopita wakati Simba inapitia changamoto ya nafasi ya golikipa, niliwahi kushauri John Bocco apewe tizi ili awe golikipa. Niliamini angeweza kuwa kipa mzuri kuliko hata...
Miguel Gamond anasema Dennis Nkane anafaa kuwa beki wa pembeni ansye panda na kushuka na ameanza kumtrain kwenye hiyo position.
Jana dogo kaupiga mwingi sana, yani anakuzuia + kupiga soka...
Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo.
Pia, Soma:
Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo...
Siku hizi ni rahisi kuona timu ngeni zikija na mapipa yake kwaajili ya kuweka maji yenye barafu (maji baridi sana) kwaajili ya wachezaji. Faida hizi ya maji baridi sana sio TU kwa wwchezaji lakini...
⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc
Mpira umeanza
Dakika ya 2
Sbs 0- 0 yng
Dakika ya 3
Boka amefanyiwa...
Taarifa mpya kutoka ukumbini Théâtre du Châtelet ni kwamba majina ya nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr na Jude Bellingham yameondolewa kwenye viti vyao kwa hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or...
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C.
Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama...
Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote,
Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga...