Dirisha la usajili katika Majira ya kiangazi yaliyopita, Man Utd walikuwa wanamtaka kwa udi na uvumba winga wa Borussia Dortmund, Sancho ila kwa bahati mbaya wakashindwa kumnasa!
Miezi takribani...
Kuna msemo wa Kiingereza unasema "Managers are hired to be fired". Yaani makocha wameajiriwa kwa ajili ya kufukuzwa.
Kocha unapopewa timu, watu wanachotaka ni mafanikio tu na si kingine. Msimu...
Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
Zamani sheria za mpira ziliwataka wachezaji wa mpira wa miguu wawapo uwanjani basi hawana budi kuwa wamechomekea jezi zao ndani ya bukta zao. Ika baadae FIFA wakaja wakaifuta sheria ile.
Bado...
Tukiachana na tuzo ya Jana
Ambayo binafsi naona RODRI alistahili
Je ni kweli kwamba yeye ndiye best DM of all time tukimlinganisha na SERGIO ?
ngoja niende na strength zao kwanza Kila mtu...
Unasikia mwamba anaitwa Rodri baasi. Unajua hii mashine, jina tu linambeba. Mara unasikia Zico, Pele, Garincha, Kaka, Socrates, Romario, Ronaldinho, Bebeto. Jina moja tu umemaliza kazi, unajua...
JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza...
Mchezaji kinda wa Barcelona, Lamine Yamal, amewasili katika hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or akiwa ameongozana na mdogo wake.
Soma, Pia:
• Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea...
Wakuu,
Tuzo za Ballon d’Or 2024 zimejumuisha vipaji bora vya soka duniani, na tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume imeenda kwa Rodri (27) wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania.
Ushindi huu...
Baada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya.
Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji...
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha...
Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji...
MMESIKIA HUKO?
.
Kwa mujibu wa Africa Soccer Zone,Klabu ya Yanga inashika nafasi ya pili nyuma ya Al Ahly kuwa ndio Klabu zinazofanya vizuri kwa sasa barani Afrika.
Orodha ni kama ifuatavyo
1-Al...
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa...
Mshindi wa Ligi Kuu ya Uingereza na Euro, Rodri, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa kiume duniani kwa mwaka 2024, akiwa kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo.
Kiungo wa Manchester City...
Vijana wa 2000 hakika wanakosa burudani sana katika mpira katika zama hizi ambapo kuna mabadiliko makubwa yanatokea kwenye mpira.
Ebu twende nyuma kidogo viungo waliowahi kucheza mpira mkubwa hapa...