Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sina nia yoyote nyingine zaidi ya kuomba kujibiwa hili dukuduku langu tu , maana ni wazi kwamba hali hii imeleta sintofahamu na mashaka makubwa sana japo watu wanajikaza kiume tu .
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo. Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa. Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.
4 Reactions
163 Replies
20K Views
Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya. Taarifa za ndani zinasema Nkana wanahitaji kiasi cha...
0 Reactions
104 Replies
13K Views
Hao ndio wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi yetu. Source Habari Leo Maendeleo hayana vyama!
0 Reactions
11 Replies
949 Views
PPichani ni vazi rasmi la washabiki wa Taifa Stars litakalotumiwa huko Misri. Vazi hili ni vazi ambalo tumezoea kuona likuvaliwa na Nabii Tito.
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Baada ya muda kukaa bila kocha, Ac Milan yamkabidhi kocha wazamani wa sampodoria(Marco) timu ya Ac Milan https://kangaroodds.blogspot.com/2019/06/transfer-news-ac-milan-appoint-marco.html
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hata kina yaya toure wamepunguza sana kikubwa tia juhudi uwanjani mdogo wetu ulitangaze taifa letu
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Yanga hawana budi kumshuru Sana mh. Makonda mkuu wa mkoa wa DSM Kwa kuwapatia eneo zuri na kubwa la kujenga uwanja wao. Eneo hili ni zuri, kubwa na lililoko mjini. Bila shaka eneo hili halikubaki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*_AFCON 2019 Fixtures (East African Time)_* *Friday 21 June* Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ vs Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ 11pm *Saturday 22 June* DRC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ vs Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ 5pm Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ vs Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ 8pm Guinea ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ vs Madagascar ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Bondia muingereza Tyson Fury amempiga kwa KO round ya pili Tom Schwartz wa ujeruman. Sasa tusubiri marudiano kati ya Fury na Wilder hapo mwakani mwanzoni.
2 Reactions
28 Replies
2K Views
TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1! Mimi siongezi neno hata moja! Fainali ni Azam Fc v Mtibwa Sugar!
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kundi C ndilo tumo wa tz, ukitazama kiukweli si kundi rahisi ukirejea kiwango chetu, cha zaidi hapa ni Dua na Maombi tu ndiyo kilichobaki kwetu watanzania angalau basi tusitoke kwa aibu. Kundi C...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jina la timu ya young Africans sports club haliendani na uhalisia.Young Africans sports club maana Yake Ni timu ya vijana wa kiafrika.Lakini uongozi umejaa wazee vikongwe wa kike na kiume.Simba hoyee.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni kuwajulisha kuwa Messi wa Tanzania amemwaga wino Chamazi, hongera kijana. Nawaletea habari katika picha. Ramadhani Singano 'Messi wa Tanzania' wakati akimwaga wino Chamazi
2 Reactions
72 Replies
8K Views
Simba SC imemsajili kiungo wa Brazil Gerson Fraga Vieira mwenye miaka 26 aliyekuwa anakipiga katika club ya Atletico De Kolkata ya india.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wadau wa jf, Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanavyoenda ktk timu ya azam na najikuta na maswali kadhaa bila majibu Azam ni timu ambayo ilipoanzishwa na kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu mchezaji sijamsikia kwa muda mrefu sasa. Aling'ara sana kipindi cha nyuma kwenye ngazi ya vilabu hapa nchini na hadi kwenye timu yetu ya Taifa(Taifa Stars) Nakumbuka Taifa Stars iliwahi...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Kocha wa timu ya Taifa ya Soka ya Wanaume ya Uhispania, Luis Enrique(49) amejiuzulu kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na sababu binafsi na nafasi yake inachukuliwa na Kocha Msaidizi, Robert Moreno...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari nilizopata kuwa mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa Said Mrisho (ZICCO WA KILOSA) Amefariki leo wakati akiletwa toka Morogoro kuja Muhimbili Hospital kwa ajiliya matibabu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Baada ya rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano kutoa kauli juu ya aliyekuwa rais wa Simba Aden Rage kumfata ili kumpatia msaada wa shilingi milioni 30 kwa ajili ya uwanja wa Simba wa Bunju wakati wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ