Ni Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia...
Kigamboni muda huu, katika makabidhiano ya eneo ambalo Mkuu wa mkoa Dar aliahidi kuwapa Yanga SC.
Ahadi imetekelezeka, tayari viongozi wa Yanga SC wanalipigia mahesabu makali eneo hilo...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema wabunge 48 watakwenda kuishangilia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika Fainali za Mataifa ya Afika (AFCON) zinazofanyika nchini Misri...
Amekamatwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea dhidi ya madai ya kuwepo kwa vitendo vya rushwa katika uamuzi wa kukubali michuano ya Soka ya Kombe la Dunia ya mwaka 2022, kufanyika Qatar...
Mwenyekiti wa kikundi cha wahamasishaji na washangiliaji wa Taifa stars wameomba kuchangiwa na wabunge, wanasiasa na wananchi ili waweze kwenda Cairo, Misri.
Kikundi hicho kina jumla ya vijana 30...
Saidi Mhando-zico wa Kilosa
Makumbi JUma-homa ya jiji
Juma Mkambi- Jenerali
Sekilojo Chambua-Footballer
Abubari Salum-Sure Boy
Athumani Juma chama-Jogoo
Omari Husein -Kaka kuona
Hanzuruni...
A.alleikhum,nimesikitishwa na habari ya timu yetu ya taifa Taifa Stars kuhitaji kuchangiwa pesa ili kumudu gharama za mashindano ya Afcon..
(Source:Mwananchi)
Taarifa hii imeniacha na maswali...
Jumanne nilishinda mkeka ambazo match zilikuwa ni za saa sita na saa saba lakini cha ajabu mpaka usiku wa jumanne wakawa bado hawajanilipa pesa yangu.
Juzi jumatano nikaingia kwenye web ili...
Bingwa wa uzito wa juu duniani muingereza Tyson Furry 'GypsyKing' kesho alfajiri atapanda ulingoni kuzichapa na Mjerumani Tom Schwarz, mabondia hawa kila mmoja ana rekodi ya kutopigwa je nani...
By KINGO SR
PhD Holder Harrison Mwakyembe amewataka watanzania waichangie timu ya taifa ili wapate motisha wa kucheza mpira. Hii ndio Tanzania na watanzania wenyewe ndio sisi tuna Tabia kama ya...
Muonekano wa mlinzi wa Gor Mahia na timu ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Joash Onyango katika maandalizi ya AFCON 2019.
Hivi sasa ana umri wa miaka 26.
Hajadanganya umri kweli?
Simba wanapata bao la moja kupitia kwa Emmanuel Okwi. Ikiondoka kurudi home kujiandaa na mechi ya marudio. Nmeiona game.ni kali yenye mpira mzuri wa kushambuliana sana.
Mchawi ambaye ametumwa na...
Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo...
Mpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
Nilikuwa na bado naendlea kuamini kuwa jamali malinzi na michael Richard wambura ni watu wasiopaswa kabisa kuusogelea uongozi wa mpira wa miguu! sababu hawa ni sumu ya mpira . asante karia kwa...
Aman itamalaki
Mpira pale juventus wataupiga mwingi sana lakini wataisoma number
Nimemaliza
Huyu mrumi sarri atapuyanga mapema sana na atafukuzwa mapema sana
Mayala B
Jameni linki hii hapo kwa mabo hamuna Azam TV ..nasikia pia kumbe haitaonyeshwa Azam TV\
So link hii hapo chini kwa live streaming
Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link