Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi nakuwa Namba Moja kwa Mtu nisiyempenda kabisa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike, Kikosi chake Kibovu alichokichagua na ambaye kila Siku huwa napiga Dua ya Kuiombea mabaya Timu hii ifungwe...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Lazio kuzipiku klabu za England kumnasa Samatta? Klabu ya SS Lazio ya nchini Italia imeingia kwenye kipute cha kumnasa mshambuliaji kinara wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi kama mdau, shabiki wa soka Tanzania nimeona hiyo bei ya jezi upunguzwe ,. Bei ya sasa 35,000/= Naomba angalau jezi iwe 20,000/= Hili pendekezo langu kwa wenye mamlaka. Sijui kwa nini...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Vigezo na masharti kuzingatiwa. "Uzi taaari"
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mechi itaanza saa 2:00 usiku,tutarajie makubwa == Unaweza fatilia kupitia @TAIFASTARS twiter. == FT: Zimbabwe 1- 1 Stars Shukran nyingi kwa SAMAGOAL aliyetokea bench
2 Reactions
56 Replies
9K Views
Habarini wakuu, nasikia kuna kombe la Dunia la wanawake linaendelea huko, nape nda kufahamu, je mataifa ya Kiislam yanayojua soka kama Egypt, Iran, Uturuki, Saudi Arabia huwa zinashiriki kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Natamani sana kukimbia kufukuza kitambi cha kizushi kwa muda wa mwezi mmoja mfululizo; hii ni Jumatatu-Jumapili asubuhi. Tunadamka mapema alfajiri sana tunakula kona ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Aman iwe juu yenu Jana nilipigiwa cm kama million na mashabiki Wa man united wakinicheka sana Ni haki yao kunicheka lakin na Mimi nasema ni haki ya sarri kufutwa kazi pale darajani Tumechoka na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ibrahimu Ajibu! Huyu ni mchezaji mwenye kipaji sana. Nikiri wazi namkubali sana. Huyu jamaa anamatatizo sana tena sijui ndo tuite nuksi, Anatatizo kubwa la pupa, mfano wakati yanga wapo vizuri...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Nasema haya nikiwa huru kabisa kwamba sijawahi kuitakia mema taifa stars na hakika kama watashinda hata mechi moja katika kundi walilopo na Senegal, Kenya na Algeria nitaanza rasmi kuishabikia hii...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya miaka ya hivi karibuni ligi ya italy kupoteza ubora kama miaka ya nyuma ambapo timu za AC milan na juventus kuwa wababe wa ligi za ulaya pamoja na miamba ya Inter milan ligi hii ilipitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
https://www.telegraph.co.uk/cricket/2019/06/16/india-vs-pakistan-cricket-world-cup-2019-live-score-latest-updates/ India inapambambana na Pakistan kwenye Cricket World Cup. Wqziri mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini. Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Naupongeza uongozi na wachezaji wote wa Mabingwa wa soka Simba.Naushauri Uongozi na Kamati ya Usajili iwe makini sana kufanya Usajili kwani Tumejifunza jinsi Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika sio...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kikwete leo katema madini mazuri ila hawa bakuli FC wamefurahi bila kujua msg ilikua inahusu nini? Kasema utakuwa kiongozi mbumbavu kama unatumia madaraka yako kuwakandamiza timu pinzani wakati...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Rasmi Sarri kaichana klabu ya Chelsea kama Mkufunzi na kutimkia Juventus
2 Reactions
8 Replies
920 Views
[http://www] Harambee ya Uchangiaji ndani ya Klabu ya Yanga iliyoendeshwa na Kamati ya Hamasa, imevuna kiasi cha Sh 920 Milioni zikiwa ni fedha taslim na ahadi za wadau mbalimbali wa klabu hiyo...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni. 1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali? 2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi? 3.kuna uhusiano gani kati ya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…