Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta amesisitiza kuwa hatarajii kusalia kwenye klabu yake ya Genk msimu ujao na badala yake kuchezea Ligi ya Primia ya England.
Samatta ambaye ni kinara wa...
CAF has today taken some decisions about the controversies in the second leg of Champions league between ES Tunis & Wydad Casablanca:
[emoji1542]- The game will be replayed on neutral ground due...
Rais wa shirikisho la kandanda duniani FIFA Gianni Infantino anatarajiwa kutumikia kipindi cha pili cha uongozi baada ya kuwa mgombea pekee katika uchaguzi utakaofanyika mwezi Juni
Gianni...
Ni Kiungo ambaye hadi hivi sasa hajawahi kutokea nchini Tanzania hasa kutokana na aina ya uchezaji wake wa nafasi ya Kiungo na ule ' udambwi dambwi ' wake huku akiwa anatokea katika Klabu ya...
habari zinazokuja kila wakati ni kwamba yanga inasajili wa kufa mtu,nawatahadharisha kuwa kusajili wachezaji wazuri,sio gerentii kuwa watacheza vizuri,wawe makini na wajifunze historia ya real madrid
Heshima kwenu wakuu.
Nianze mada moja kwa moja Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mchambuzi na mhariri wa magazeti ya michezo ya Champion na Sport-Xtra Ndg Saleh Ally yaliyo chini ya Global Publishers...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza moja ya mitaa ya Manispaa ya Temeke ipewe jina la nahodha wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta.
Samatta anayecheza soka ya...
Mashabiki wa yanga walitakiwa waiombee dua na kuisapoti simba sc katika ligi ya mabingwa afrika ili kunufaika na mambo mawili katika timu yao na nchi kwa ujumla.
Jambo la kwanza, ikiwa simba...
Former Arsenal winger Jose Antonio Reyes was driving at more than 135mph (220kmph) when he died in a car crash on Saturday, Spanish police have said.
The Guardia Civil's investigation is ongoing...
Jana ulikuwa ni usiku wa Ulaya ambapo Liverpool walipepetana na Tottenham ambapo Liverpool walifanikiwa kutwaa ubingwa kwa kuibamiza Tottenham magoli mawili kwa nunge, Salah katika dakika ya...
Shirikisho la soka Africa Mashariki ( CECAFA ) limeiarika klabu ya Yanga katika michano ya Kagame CUP itakayofanyika Rwanda ili ipate maandalizi ya kushiriki vizuri michuano ya klabu bingwa...
Wakuu wadau wa soka Nina maswali mawili naomba mnisaidie.
Kwanza Ni umri wa kagere mchezaji wa simba pili nataka nijue okwi ana muda gani toka aanze kucheza soka la hapa bongo
Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa Watanzania wote Kuanzia kwa Serikali na hasa hasa TFF kwa kuiandaa vyema kabisa Timu yetu ya Taifa kiasi kwamba ‘ Maandalizi ‘ yake ya awali tu...
Timu inacheza utafikili awajala wiki nzima, nafasi wanatengeneza ila wanafanya kubutua tu, michezaji inabaki yenyewe nakipa inapaisha mpira. Sasa najiuliza kama mpo serious kubaki ligi kuu...
Inajulikana African Lyon ndio walishuka daraja msimu huu lakini kumepita mkanganyiko mkubwa wa kutokua na uhakika anayeshuka anashuka na Nani kati ya stand na kagera sugar
Mwanzo ikasemwa kashuka...
Comrade ( Kamarada ) wangu Clifford Ndimbo umekumbwa na tatizo gani Siku hizi Kaka? Ulianza Kutupotosha kuhusu Timu ya Kagera Sugar Kushuka Daraja na ikawa siyo kwamba ulikosea tukaona labda...
Habari wanamichezo
Niende kwenye Mada moja kwa moja kuna sintofahamu zimetokeo kunako shirikisho letu la mpira wa miguu TFF juu yataarifa zao kupitia msemaji wao ndugu Clifford Mario Ndimbo...
Leo RC katimiza ahadi yake. Kuwapa fedha wachezaji was Simba waliofanya vizuri ikiwa ni pamoja na kumpa Manula 10M.
Niweke wazi sina tatizo na moyo wake kuwazawadia wana Simba wenzake.
Naamini...