Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kutokana na mwenendo wa timu ulivyo kwasasa, Simba haitobeba taji lolote kwa msimu huu. Wachezaji wanaonekana wameridhika na viwango vyao walivyoonesha katika mechi za Nkana, Mbabane na Js Soura...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Msimu huu Laporte ni beki pekee kutoka timu tofauti na Liverpool ambaye ametengeneza safu ya mabeki katika kikosi bora cha msimu cha EPL..! Kama unaifuatilia ligi ya Uingereza na umewahi...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Naomba mashabiki wa yanga waseme mapema tujue kama wanaokuja kucheza na simba ni Sevilla au sio sevilla? Sio sevilla ishakula tatu bila ndio mnaaza kusema wale sio sevilla.
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Pamoja na kushangilia Ubingwa wa Simba kinyonge( kwa kuchukulia mikononi mwa watoto wa nyumbani) naomba kuwaonya Mh.Mwigulu kuhusu namna wanavyoifanyia Timu .! Awali niwapongeze vijana ambao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakongwe..! Leo tujadiri kidogo kuhusu hii mada. Kumekuwa na utaratibu wa mashabiki wa timu kubwa zilizopo Ulaya hasa Uingereza kuhoji uhalali wa mashabiki wa Man City waliopo...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna mwenye data za Kitwana Manara? Nilisikia alikuwa akicheza kama golikipa wa timu ya taifa na wakati huohuo akicheza kama senta fowadi pale Yanga. Naona kama hadithi tu maana huyu mtu alikuwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
The team travel on Tuesday to Dar es Salaam and will return on Thursday after the game and will then begin their holidays. The match will be live on SFCTV Sevilla FC, after ending the La Liga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuelekea kumalizika msimu wa Ligi Kuu Tanzania TPL, Patashika hiyo kushika kasi kwa viwanja tofauti kupigwa ambapo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mbao FC wanamenyana na KMC, huku Uwanja wa Namfua...
24 Reactions
186 Replies
18K Views
Povu Ruksa ila penye ukweli pasipindishwe na mnyonge hata mkitaka kumnyonga basi mpeni haki yake. Hawa sports pesa kampuni ya kubeti walikuwa wanaandaa mashindano sports pesa super cup ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila mtu ana ndoto ya kuboresha maisha yake. Kama umezaliwa na afya njema na unapenda kufanya mazoezi jifundishe kukimbia. Uzuri wa siku hizi smartphones unaweza kuitumia kwa vitu vingi sana...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Namaanisha mfano wa timu hixo ni kama.. Tanga FC, Arusha FC, Mwanza Fc, Dar Es Salaam FC Wadau, naomba kujuzwa kama tuliwahi kuwa na Ligi ya mikoa ya mpira wa miguu, na kama ilikuwepo.. Ilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo saa 1100EAT mkongwe Roger Federer atakuwa dimbani kuwania grand slam ingine kuongeza rekodi zake. Federer alianza tennis ya kulipwa mwaka 1998, miaka 20 iliopita na mpaka leo bado yuko juu...
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Binafsi nimekuwa na wazo hili kwa kipindi kirefu sana, na nina imani suala hili litasaidia kukuza fani ya michezo hapa nchi na hata kuongeza pato la Taifa. KWANZA KABISA • Serikali itoe tamko la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bwana Samata anapaisha kimataifa Taifa la Tanzania. Gooo good Samata na vijana wengine mliopo Serengeti Boys na Ngorongoro fuateni nyayo zake.
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ule usemi wa kwa mchina hatoki mtu mbele ya simba sc. Je utadhihirika mbele ya Servilla? Servilla washalijua hilo na kusema wanata kuuvunja huo mwiko. Wameapa kuweka first eleven yao na kusema...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wapenda michezo wenzangu naomba tukumbushane binafsi sikumbuki mara ya mwisho iliwekwa mwaka gani UEFA na ikitokea UROPA kukutanisha timu za ligi moja. LIVERPOOL VS TOTTENHAM ( UEFA) CHELSEA VS...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Mwanasoka wa siku nyingi aliyewahi kuchezea vilabu vya Simba na Yanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo. Source: FULL SHANGWE RIP Bambaga.
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Watu walikuwa na Imani kubwa na Serengeti boys kufanya vizuri kwenye mashindo Yale ya Afcon lakini matokeo yake ikashindwa kuwaaminisha watanzania kuwa kile kichwa cha wendawazimu kimetoweka...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Mieleka/wrestling imekua ikionyeshwa zaidi ya miaka zaidi ya 10 hapa Tanzania. mchezo huu umepata mashabiki wengi sana hasa vijana na watoto mashuleni na mitaani kumetokea kesi za watu kupigwa kwa...
6 Reactions
188 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…