Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote Tanzania...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari zenu wakurungwa! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote...
1 Reactions
18 Replies
431 Views
Kutokana na uhitaji wawatu wengi kufahamu kuhusu casino za mtandaoni nimeona hatuna uzi maalumu wakujifunza na kujadiliana mbinu za michezo hiyo .kwamaana Uzi uliopo humu ni wakubeti mpira tu...
10 Reactions
25 Replies
6K Views
Leo saa 7 mchana nipo kwenye daladala nikapitiwa na usingizi mzito sana,kwa mda mchache tena usingizi ulikuja ghafla sana lakini kwenye usingizi huo niliota kandoto nacho kalikuwa kafupi tu kama...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Sijaona kabisa Kosa lolote la Mwamuzi Kayoko. Simba SC tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC si Kiwango chetu Ok?
27 Reactions
40 Replies
8K Views
Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu? 🏆 NBC Premierleague ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 22.10.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00...
8 Reactions
101 Replies
19K Views
Huyu dogo leo amewakatili sana Dortmund, dah
2 Reactions
3 Replies
649 Views
Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam...
4 Reactions
22 Replies
7K Views
Inakata moto kipindi cha 2. Dakika 20 zamwisho wachezaji wanahema tu. Yani kocha ana mzuka ila wachezaji wako hoi. Tukikutana na Singida Black Stars sijui itakuwaje. Soma Pia: Full Time Tanzania...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Lose of insight ni ugonjwa ambao mgonjwa hajui kama anaumwa na hajui kama anaumwa nini, hivyo hatafuti matibabu bila watu wengine kumsaidia. Simba hawaamini kama Yanga ni Bora pamoja na kucheza...
9 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa. Hii ni ajira isiyo rasmi, kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida Hii ni kwa mechi...
5 Reactions
15 Replies
715 Views
Naanza kupata mashaka. Inawezekana Simba nayo inadhaminiwa na makampuni ya GSM kimya kimya. Kwanini kila wakicheza na Yanga wanafungwa? Hii ni mara ya nne mfululizo hawapati matokeo. Nasema hivi...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya kutoka kuchapika dhidi ya mtani wake leo Simba SC anakibarua kizito mbele ya wanajelajela Tanzania Prisons Tanzania Prisons VS Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22...
9 Reactions
148 Replies
32K Views
Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha. "Nilivyookoa sikuhama eneo...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale wote walio angalia game ya Prison na Simba, kwenye uchambuzi wa dakika 45 za mwanzo, ilionekana Simba kapiga shuti moja lililolenga goli na moja lisilolenga, kitu ambacho si sahihi hata...
2 Reactions
14 Replies
744 Views
Hapo vip!! Binafsi mimi nikiwa Rais alafu nimsikie waziri anayesema yanga ni timu ya serikali,nitamtembeza kichura kutoka Dar es salaam mpka kigoma. Kwanza atanikumbusha haya machungu ya namna...
2 Reactions
14 Replies
700 Views
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine. Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium...
0 Reactions
5 Replies
415 Views
Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try...
14 Reactions
51 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…