Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie...
Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024
Tanzania...
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.
Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu...
"KATI YA MPIRA NA MIMI UNAPENDA NINI"😃
Kama mwanaume mdau wa mpira inawezekana umewahi kukutana na swali kama ili kutoka kwa mwenza wako (mpenzi/mke)😀. Pia kama wewe ni mwanamke inawezekana...
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar...
Kwa ninavyoifahamu SIMBA Huwa ikitoka ufungwa na Yanga basi ujue mechi inatofuata ni SARE au kipigo kabisa, Ili hilo lisitokee inabidi 80% ya wachezaji ambao hawakuanza mechi ya Yanga wacheze
Simba wamepita makocha wengi bora katika mbinu, lakini wachache bora katika maelezo, either kuelezea programu zake, hali ya timu, mbinu zake au kuwasilisha jambo lolote.
Japo sio sifa ya lazima...
Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na...
GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.
Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema...
Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo.
Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa...
Nawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha.
Huyu jana angekuwa ndio sehemu ya Simba zile faulo alizokuwa akipiga hovyo Ahoua jamaa...
Waandaaji wa matamasha ya burudani na michezo mnaboa
Hasa katika kutoa tuzo
Mnaalika wanasiasa wasiokuwa na uelewa na masuala ya burudani ndo watoe tuzo
Hawawezi hata kutaja majina ya wasanii...
SIMBA NI YANGA B
Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein...
Usije ukahisi labda uko Kwenye daladala za Mbagala la hasha,hapa ni Sokoine stadium Mbeya.
Ccm mkoa wa Mbeya ndiyo vinini Sasa hivi mlivyotuwekea Sasa hapa .mnatuaibisha Wanyakyusa.
Pure Talent 🔥 Mechi Nane za Ligi Kuu kaweka magoli mengi kuliko mchezaji yeyote hadi sasa kwa Msimu huu 2024-25
Muendelezo wake mbele ni wa kiwango cha juu saana na ndiye anaongoza orodha ya...
Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012
“Elimu hiyo...
Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji...
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili...
Tupeni takwimu nani amewahi kufungwa na mtaani wake mara mfululizo , au Yanga Jana kavunja rekodi.
Soma Pia:
Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa
FT: Simba 0 - 1...