Nashangaa Yanga kufurahia kutolewa kwa Simba katika hatua ya robo fainali na huku hawafikirii kuwa Simba ni miongoni mwa Vilabu au Timu bora kati Top 8 Afrika
Imagin Afrika ina nchi 56 na kila...
Wenye vichwa vya panzi wanafanya karamu kufurahi Simba kutolewa,ila tu wanasahau kama Simba hii tishio imetolewa hatua ya robo fainali kwenye ligi kubwa kuliko zote Afrika. Imetolewa zikiwa...
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo...
Mechi ya Tanzania Prisons vs Biashara United imeingiza Tsh 9,000, kufuatia watu watatu tu kukata tiketi za Tsh 3,000 kila mmoja. Mechi hiyo imechezwa leo Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya na...
*The way Simba SC fans are so quiet on social media. I think they are planning to kidnap Moses Katumbi*
The Mazembe fans are optimistic of not returning the bride to Tanzania. She has gone for...
#CAFCL: Mpira umemalizika (Stade de TP Mazembe) Lubumbashi, Congo. Simba wametupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
FT: TP Mazembe 4-1 Simba SC (Agg: 4-1).
#BecaLoveUpdates : Takwimu Kipindi cha...
Tbc Mara nyingi wako busy na matangazo ya live ya kiserikali!Lakin walipa Kodi jamani tunahitaji mtuonyenye na matukio mengine!Matangazo ya mpira live ni nadra Sana kurushwa na Tbc.Acheni kutumia...
Makundi yapo 6, kila kundi timu 4
Baada ya michezo ya makundi, timu 2 toka kila kundi zitaqualify.. pamoja na timu 4 bora zilizo shika nafasi ya 3 numla zitakua timu 16.
Timu 16 zitacheza...
Leo jijini Cairo majira ya saa 3 kamili usiku kwa saa za Africa Mashariki kunafanyika upangaji wa Makundi 6 ya AFCON huku timu za mataifa 24 zikishiriki.
Makundi yatapagwa kutokana na Ports 4...
Hii tabia ya yanga sisi tunahangaika kuwachangia mkuze viwango na muwape wachezaji wetu mishahara nyie mnaenda kununua mechi inaudhi sana. Mnadhani itatusaidia kitu huko mbeleni?
Team yetu...
Kwenye mechi ya Simba na Mbabane kuna chance Bocco amezikosa kosa sana, anabaki na kipa halafu anampigia mpira badala ya kuangalia angle. Halafu pia hatoi pasi nzuri za umaliziaji kwa wenzake...
Mchezaji wa zamani wa PSG ya Ufaransa ambaye kwa sasa ni Kocha wa kikosi cha PSG cha chini ya miaka 19, Thiago Motta anapanga kufanya mapinduzi katika mifumo ya Soka kwa kuja na mfumo wa 2-7-2...
Leo saa tatu usiku kwa saa za Africa mashariki kule Misri kutakuwa na shughuli ya upangaji wa makundi kwa timu 24 ambazo zimefudhu kucheza michuano hii mikubwa kabisa kwa timu za taifa katika bara...
Which Premier League players could be there?
Egypt: Mohamed Salah (Liverpool), Mohamed Elneny (Arsenal)
Senegal: Sadio Mane (Liverpool), Idrissa Gueye (Everton), Cheikhou Kouyate (Crystal Palace)...
Looking to this guy amebakisha kwenda ofisi ya mo na kunywa kahawa pale kwenye lijigorofa zilipo ofis za mo
Ana kazi Gani nyingine? Tunajua huyu nkwambi ni pandikizi la dewj hana mpango wowote...
Nilisema humu timu chache sana zinaweza kuhimili mikiki yote hiyo na kufanya vizuri,hata uwe na kikosi kipana namna gani,Timu moja imeanza kudondosha mojamoja yaani Simba SC,Yanga waliwahi kidogo...