Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO...
25 Reactions
122 Replies
12K Views
Wakuu naomba kujua mechi ya Juma pili Taifa Stars na Uganda Ticket zinauzwa wapi? Ili tuwahi mapema? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Huyu jamaa hajielewi na mashabiki wa simba wanaomsaport 1.wewe boss wako ni Samba Zahera boss wake ni Yanga shughulika na Habari za Simba 2.Kutokusafiri na timu Iringa hilo halikuhusu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
TP Mazembe VS TS Malekesa: 8 - 0 Kabangu, Kaluyituka, Kabangu, Kabangu, Kabangu, Mwansa, Lofo, Kabangu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, natumai mu wazma kbsa. Leo tarehe 2/2/2019. Kuna michezo sita kutoka ktk makundi yote manne yaani A, B, C na D. Katika Group A. Timu ya Lobi Star ya Nigeria ikiwa nyumbani...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Leo ndio leo asiye na mwana(kandambili) abebe jiweee, iwe isiwe lazima kombe linyakuliwee, hii ni mechi kali , kati ya mnyama na timu tp wazembe, mechi inachezwa leo jumapili tr 03/04/2011
2 Reactions
193 Replies
19K Views
Muda wa Yanga kukodishwa Kwa Manji umefika.Yanga mpira ni sayansi sio maneno Na magazeti.Tp Mazembe ni timu kubwa duniani yanga haifanani nayo .Wanachama wa yanga acheni kusema sana hatimaye...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni mtujuze ticjet zinauzwa wapi na bei zake tafadhari naomba kwa yyte mwenye uelwqa anisaidie hao wanaoongea kuhakasisha watu sioni hata mmoja akizungumzia swala la Ticket l. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Wakuu wote wa JamiiForums, Leo jumanne jioni ya saa 10 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam itapigwa mechi kati ya Yanga ya Tanzania na TP Mazembe ya Congo DRC! Ni mechi ya kimataifa, Kombe la...
7 Reactions
689 Replies
107K Views
Kwa jina la Mwenye enzi Mungu,mtoa Neema kubwa na Ndogo ..naomba uibariki Timu ya Taifa la Leshoto itakapopa mbana na Cape Verde ! Kwa kufanya hivyo utakuwa umeisaidia nchi moja ya Afrika...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Mashabiki wa Tp Mazembe wameonekana wakishangilia katika makao mkuu ya timu Yao mjini Lugumbashi Mara baada ya kupangiwa Simba katika Droo ya robo fainali Mashabiki hao wanaamini kuwakwepa waarabu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
wadau hiii kitu mmeiskia????
0 Reactions
10 Replies
972 Views
Kwa Mashabiki, Wapenzi na Wakeleketwa wote wa Simba SC. Kwanza tujipongeze kwa Sapoti tuliyoipa timu yetu Mpaka kufikia hatua ya ROBO FAINALI, ni matumaini yangu kwamba SIMBA itaunguruma mbele ya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kocha wa simba, ndugu Patrick Winand J. Aussems, aliyezaliwa tarehe 6 February 1965 huko Moelingen, Ubelgiji. Huyu bwana hatajwi sana kwenye mafanikio ya simba, wanasimba wanawataja sana akina...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Baado ya droo kupangwa jana na timu ya Simba kupangwa na timu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbashi mimi mtoa mada nesikia mashabiki wa Simba wakiinadi timu hiyo ya DRC kama ni timu nyepesi eti...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MWALIMU wa timu ya soka ya taifa ya Brazil Carlos Dunga ambaye anaaminika kuwa ndiye mwalimu kiburi, mwenye kujiona yeye ndo yeye, asiyesikia la kushauriwa, mwenye vinyongo na waliomzidi...
0 Reactions
90 Replies
12K Views
Nimetafakali kwa kina nikajiuliza hivi tarehe 24 boko anaweza pata clear chance akaweka mpira kambani ili sisi watanzania tusiende misri? Je Juko Mushidi anaweza kukomaa kwelikweli pale nyuma ili...
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Kwa taarifa nilizopata ni kwamba mtoto wa mwisho wa Messi amemuomba baba yake amletee mpira wa UEFA, sababu ni kwamba amemiss kuona mpira mpya wa michuano hiyo. Je, Messi atatoa hela yake anunue...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…