Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo...
Imekuwa ni kawaida na desturi nchini Tanzania ambapo Watu wengi hupenda tu Kusikia maneno matamu matamu, mazuri nay a kutia moyo ila pale ambapo akijitokeza Mtu ambaye huwa ni Mkweli na siyo...
Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa...
Nionavyo mimi na kwa mpira waliounyesha simba jana. Naona hakuna timu itakayomzuia simba kubeba kombe la champions league. Sababu zipo mbili
1. Simba wamecheza na kuwafunga al ahly ambao ni...
Jimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi
Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard...
Kwa hakika sikupenda hii ishu niilete huku JF kwa sababu inahuzunisha tena kwa mtu mzima mwenye familia na majukumu chungu nzima halafu apoteze 3m (bonge la mtihani)...so nimeleta huku ili wale...
Habari wapendwa!!!
Baada ya kushudia mtifuano wa Simba SC na As Vita Congo na Simba SC na kuibuka mshindi dakikia za 88 na Simba akiongoza mabao 2 Kwa 1 katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
CHUNGU NAMBA 1 KUNA
Al Ahly
Wydad
Esperance
Tp mazembe
CHUNGU NAMBA 2 KUNA
Simba
Sundown
Horoya
Cs Constantine
Katika dro ni chungu namba 1 against chungu namba 2
Kwa hiyo Simba anaweza...
Kichwa cha habari hapo juu chajinyumbulisha. Katika miaka yangu ya kufuatilia soka sijawahi kusikia popote duniani club ya soka inaendeshwa kwa bakuli style wanayofanya Yanga.
This is too much...
Tanzania Premier League leo:
Simba Soccer Club 2
Ruvu Shooting 0
Wafungaji wa Magoli
Paul Bukaba dakika ya 53
Medie Kagere 56,
Mechi imechezwa uwanja taifa dakika 90
na Simba SC wameondoka na...
Nikili kwamba sikuwa mfatiliaji wa hii michuano toka nimezaliwa ila nimeanza mwaka juzi. Ile fainali ya mwaka jana wakati exprence de tunis wanapindua matokeo kibabe ndo ilinishawishi kuwa mpenzi...
Nimekuwa nikifuatilia ligi kubwa 4 za ulaya EPL,La liga ,Bundesliga pamoja na France ligue 1 na hata michuano ya uefa kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kuona mashabiki wakizimia zimia hovyo na...
Ilikuwa mwaka1998 mechi ya kirafiki kati ya Bena Tshadi na Basang kutoka kasai m
mechi ilianza kawaida tu Mpaka pale mvua ilipoanza kunyesha,timu ya basang ilitoka nje ya uwanja kufuatia mvua...
Inasikitisha sana Yanga kupenda kulalamika kuwa Simba huwa inapulizia dawa kwenye dressing room. Mmewajaza ujinga As Vita wakaja kupiga picha na mask na kuzipost mtandaoni. Yanga acheni majungu...
Habari zenu mashabiki wa Simba, Hongerezi kwa ushindi mzuri tulio upata jana.. do or die imefanya kazi.
Wakati mechi inaendelea jana na baada ya mwamba wa lusaka kufanya yake kuna vitu nilikuwa...
Habarini wanajamvi.....
Nimeona TFF wakitangaza kamati yenye wajumbe 14 ikiongozwa na DAB ya kariakoo(Dar Mpya) kama Mwenyekiti....
Unaunda kamati ili iweje? ifanye nini?
Taifa stars si...
wadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na...
Waswahili husema kiporo Cha tajiri huwa hakichachi, msemo huu umedhihirishwa na matajiri wa msimbazi kwa kuendelea kutoa dozi kwa timu za Tanzania premier league maaruf kama TPL,
Leo mnyama...