Kwa wiki nzima kaulimbiu ya wapenzi wa Klabu ya Simba "YANGA HAWATOKI SAFARI HII KWA USAJILI HUU ULIOFANYIKA" lakinI pamoja na kaulimbiu yenu Yanga wametoka na mmefungwa. Lawama zote zimuendee...
Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana.
Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda...
Kwa hisani ya C. Magori [emoji24][emoji23]
Wazaramo walikuwa na msemo wao na kabla awajaingia katika vita ama awajaleta timbwili wanaweza kusema udugu umala ubaya ubwela.
Yani udugu umala ni...
“Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik...
Kuelekea mechi ya tarehe 19, timu ya Simba ina advantage kubwa sana kutokana na kuwa na idadi ndogo sana ya wachezaji walioitwa kwenye mataifa yao. Kuitwa kwa wachezaji wengi kwa upande wa Yanga...
Kwa wanaohusika huko Simba
Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro.
Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
Sitikisiki na sipigi ramli.
Iko hivi, teams zote ni nzuri sana, ila ni hivi iwapo Simba ataingia fainali basi atakua bingwa iwapo atakutana na Azam FC ila Yanga akiingia fainali na Azam atapigwa...
I salute you kinsmen.
Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe.
Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama...
Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu...
Ni kweli Simba kafungwa mechi 4 mfululizo na kapoteza ubingwa mara 3 mfululizo lakini haiondoi ukweli kwamba muelekeo wa ni sahihi na wanakaribia kuupata ule ubora wao wa misimu minne iliyopita...
Pamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake.
Pamoja na musa camara"spiderman"...
Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa...
Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali...
I salute you kinsmen.
Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa.
Kumbuka...
Wakuu,
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa uwanja wa mkapa katika mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 19, 2024.
Vyama vyote vikiamua kuchukua mabango yao kama hivi kuhamasisha mambo ya kisiasa...
Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo.
Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia...