Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewalipia viingilio mashabiki wa soka katika jimbo hilo kwaajili ya kushuhudia mchezo wa Ligi...
Emmanuel Amunike alikuwa mmoja ya wachezaji wazuri wa naijeria miaka ile ya 90 mnyakyusa huyu na wenzake akina amokachi,george finidi,rashid yekin n.k
Sijajua kwa nini alidhani kuwa mbora katika...
Mimi Kama mdau wa soka ninaumia Sana kuona mambo yanavyoendeshwa shaghalabaghala na Tff.
Tff Kama wasimamizi wakuu wa Mpira wetu, nadiriki kusema wameshindwa kuusimamia badala ya kutupereka mbele...
Head coach wa team ya taifa Tanzania, Amunike ametangaza list ya wachezaji 25 ambao watatuwakilisha katika pambano dhidi ya Uganda kwenye AFCON 2019. Wapo wachezaji makini sana amewachagua akiwemo...
RATIBA YA FA HATUA YA ROBO FAINAL
*ALLIANCE vs YANGA
*KAGERA SUGAR vs AZAM
*KMC vs AFRICAN LYON
*LIPUL vs SINGIDA UNITED
***
NUSU FAINAL
<*>LIPUL/SINGIDA UNITED vs ALIANCE/YANGA
<*>KMC/AFRICAN...
Leo tumeambiwa Kocha wetu anatangaza mjina ya Wachezaji watatuongoza katika njia ya Kwenda Misri!
Kwa tabia ya Kocha wetu unaweza kushangaa kusikia amemuacha Boko ,na kumchukua Haruna Moshi...
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu...
This is a disgrace. They put four people that know nothing about football in charge of looking at the replay for VAR,” he posted on Instagram stories.
“There is no penalty. How can it be a...
Soka linalopigwa na BvB, Manchester city na Juventus Turin kwa sasa pale ulaya ni bora na zuri. Zile zama za kina Barcelona na Real Madrid zimefika mwisho.
Kwa mtu aliyeangalia game za Juventus...
kwa haya madudu ya TFF...kuunda kamati za wanasiasa, ligi mbovu iliyojaa rushwa na kutokuunda kamati technical sportsmen wa kushauri na kubuni strategies za ushindi kwa timu yetu ya taifa...
mara paap! kikosi cha TANZANIA vs UGANDA hiki hapa.
1. AISHI MANULA
2. HASAN KESSY
3. MOHAMED HUSEN
4. BANDA
5. KELVIN YONDANI
6. JONAS MKUDE
7. SIMONI MSUVA
8. SALUM ABUBAKAR "SUREBOY"
9. MBWANA...
Mkongomana wa Yanga ambae ndiye Kocha Mkuu Mwinyi Zahera amefunguka na kuipa asilimia 60 klabu ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Aidha ametoa asilimia 40 kwa klabu...
Real Madrid kwenye Klabu Bingwa Ulaya (UEFA Champions League).
Kabla hawajamsajili Ronaldo:
2004/05 - 16 bora
2005/06 - 16 bora
2006/07 - 16 bora
2007/08 - 16 bora
2008/09 - 16 bora
Wakiwa na...
Baada ya kipigo hicho cha kudhalilisha mithili ya mbwa koko aliyekunywa supu ya mgonjwa , Madrid wametolewa rasmi kwenye mashindano hayo
Bila shaka huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa timu...
Hii mechi huwa naiangalia kila siku nikifanya utafiti wa kina kuona kama Yanga alinunuliwa!
Kwa kuwa Yanga mpo humu mtuambie mlikula bei gani kama walivyokula Al Ahl, Azam, Lipuli, Stand?
Ila...