Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo...
Kila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha...
Naona maneno ni mengi kila mtu anajaribu kuongea anachokijua, hila kwa wanasimba wanaoijua football vizuri sidhani kama watakua wanaumia na matokeo haya
Wanasimba wanajua kua wapo kwenye kipindi...
Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba...
Na leo narudia tena kusema hicho hicho kuwa Simba SC iwaombe TFF iwape Yanga SC alama (points) zao Sita (6) kwani kamwe kwa aina ya Viongozi Wanafiki na Virusi Watano walioko Klabuni akiwemo...
Toka awali hili jambo la Camara kukaa mbali na Goli kama Diarra tulishalizungumza!! Hatimaye leo ameiponza Timu!![emoji3063][emoji3063][emoji3061]
Hii sio mara ya kwanza wala ya pili!! Kuna muda...
Uchezaji wa Yussuf Kagoma ambaye alionekana kumudu kiungo cha chini unafanana sana na viungo hawa akina Gerald Gwalala wa Coastal Union, Kevin Nashon wa Singida Black Stars na Mtenje Albano wa...
Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia...
Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya...
Habari ndio hiyo. Game dhidi ya Bolivia. Katupia goli 3 na kutengeneza mawili kwenye ushindi wa goli 6.
Jana usiku MSL huko Marekani. Inter Miami ilitanguliwa goal mbili, King Messi akiwa bench...
Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM
Sasa wao kila mechi kipigo
Wao watwambie kama GSM ashaanza...
Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu...
1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili
2. Yussuf...
I will be short
Simba since community shield Refa anawabeba tu . Magoli yote ya offside na penalty feki amna kelele.
Leo mechi na yanga mmebebwa sana. Mnapoteza Refa ndo tatizo.
Akili za makolo...
Pamoja na wachezaji wa Yanga zaidi ya 10 kutoka kucheza mechi zao ngumu za kufuzu AFCON na kuchelewa kuingia Tanzania kujiandaa na derby lakini Simba imeshindwa kunufaika na hilo. Kuna wachezaji...
Mwanariadha kutoka tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kushindana na manguli wenzake kama Joshua Cheptegei wa Uganda kwenye mbio za delhi half Marathon mapema leo jumapili tarehe 20/10/2024...
Mashabiki wa soka la bongo watakuwa wanamkumbuka mchezaji huyu, alicheza na kina Mgunda, Razack Yusuph, kifupi enzi za kina Tenga.
Mwaka 1994 alikamatwa nchini Malawi kosa ikiwa ni kukutwa na...