Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bahati (chance) ilitumika kuifikisha Simba hatua ya makundi kwenye mashindano yanayoendelea ya CAF. Kubahatisha huku ni dhahiri kutokana na idadi kubwa mfululizo ya magoli inayofungwa na ndugu...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Kocha wa Al Ahly Martin Lasarte ametaja majina ya kikosi chake cha wachezaji 21 ambacho kimesafirisha usiku huu kuja Tanzania ili kukabiliana na Simba SC katika mechi ya hatua za makundi ya klabu...
2 Reactions
39 Replies
11K Views
Kwanza niwahongere wana Simba kwa kutupa raha! Wachezaji na wapenzi wa Simba mmefanya wandaz! Sipati picha kama leo tungefungwa 5 tena! Sijui tungelalaje leo, maana vyura majike wangepiga...
3 Reactions
3 Replies
36K Views
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji...
7 Reactions
68 Replies
6K Views
Na wa Porto pia. Tunakutana hapa kuuona mwisho wa simulation & diving masters na wamwaga pombe. Macho yangu yatakuwa kwa Verratti, Marquinhos, Danilo na Casemiro. Fingers crossed angalau moja ipite.
0 Reactions
41 Replies
3K Views
TAHADHARI NA WITO KWA WANA SIMBA WOTE: Kumekuwa na wimbi linaloendelea sasa mitandaoni la kutoa mambo yanayofanya taharuki au kuleta mijadala milngoni mwetu. Hasa taarifa hizi: 1. Kocha msaidizi...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Hiyo ndio nguvu ya chama tawala bhana pitia ilani ya uchaguzi ujisomee kipengere kinachohusu michezo. Simba hoyeee Michezo haina vyama!
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa sifa alizonazo mnyama simba mfalme wa nyika ni wazi sasa hivi timu ya simba kulitumia jina hili kimataifa tunamdhalilisha mnyama huyu yeye kama mnyama jasiri lakini pia tunaua au kudhoofisha...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kutokana na tabia iliyojengeka ya ushindani kati ya klabu mbili kubwa za mpira nchini yaani Simba na Yanga; uzalendo wa nchi umekua ukikosekana hasa pale timu yetu ya ndani inapokua inacheza na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini azam tv kila siku mnatuwekea matudio ya mechi ambazo simba alishinda tu kwanini hamuweki ambazo alishindwa ili kama ni kufanya masahihisho tujue wapi tumefail. Hizi mechi za kmataifa...
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Michael Wambura Yuko Pccb Upanga Wamemkamata Toka Juzi Jumamosi. Na Kuna Taarifa Kwamba Wanaweza Wakamfikisha Mahakamani Leo Na Wakampa Kesi Ya Money Laundering...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukweli mchungu Karia ana asilimia kubwa ya kushinda ,kila la heri Ally - JamiiForums Michael Richard Wambura alikuwa hajui anapambana na nguvu gani.Kipindi cha uchaguzi nilitamani sana Ally Mayay...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
1. Kuona askari wenye virungu wakisindikiza wachezaji wakati wa kutoka au kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. 2. Askari Polisi kujazana uwanjani na kuanza kutazama wachezaji ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Mimi ni shabiki wa yanga a.k.a ombaomba, vyura fc na majina mengine mengi mnyotuita ila ndo nipo huko. Niliiona press yako Bw Mohammed na nimeona posts zako Manara kule insta. Wote mnomba...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Sarri zamani alikuwa na kosa mmoja, la kuwapangua wachezaji huku Kante akipelekwa mbele, Kovacic/Ross nao wanapatikana mbele, alafu mlinda ukuta anakaba kama anaangalia movie la Sunnillshet vile...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Get rid of David Luiz; Kepa and Alonso from first team. Davis Luiz si wa kuamini anacheza slow hana pace akikutana na mtu kama aguero ni zahma Alonso same, Pia hilo kipa ni kimeo. Kante acheze...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
yaani sisi tupo kwenye vita kali na mabebebru halafu serikali ya zanzibar inawalamba miguu?kwa ajili gani jamani?watalii? tutaenda sisi wenyewe wasitutishe bana, watakuja hata rafiki zetu w...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Michael Richard Wambura amefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo amesomewa mashitaka 17,yanayohusiana na ubadhirifu na matumizi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SIMBA SC NI ZAO LA YANGA SC Jambo moja ambalo wengi hawalijui ni jinsi Yanga na Simba zilivyotokea na chanzo cha upinzani wao mkali. Mwaka 1928 Yanga ya sasa ilijulikana kama ' the Navigators '...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwanini Mbwana Samatta ameganda pale pale Genk KRC pasi na kusonga mbele.? Wamekuja wakina Bailey wamesepa.. Wamekuwa wakina Ndidi wamesepa... Kwani uwezo wake unatia...
7 Reactions
101 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…