Ni goli la Feisal Totooo,Yanga waendelea kujikusanyia point muhimu.Nimeona nilete hii habari maana jana yote hakuna aileleta watu wamekuwa kimya sana baada ya Al ahly kuingia jijini.
Hakika Soka la Bongo ni Siasa tupu ni kama Chadema vs Ccm.Ukipigania haki yako ndani ya TFF utashtakiwa FIFA na ikishindikana utajikuta uko PCCB na hatimae Mahakama za Kisutu hiyo ndio TFF yetu ...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kumshikilia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Michael Wambura kwa tuhuma za rushwa na leo itamfikisha...
Uso wa Mo Dewji katikati ya ujanja na ujinga wa Haji Manara
Kalamu ya Ally Kamwe
Kwa Jicho lingine. Kwa mtazamo mwingine, Press ya Simba Sc leo imetuonyesha kilichojifisha katikati ya ujanja na...
Mchezo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Namfua Singida
Twende pamoja
...........
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida United dhidi ya Yanga kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili Uwanja wa...
Pamoja na yote yaliotokea uwanjani lakini samata ameunyesha kiwango kizuri..i can see a better future for him kama atatulia na kuelekeza akili yake kwenye soka..ila akiendekeza misifa badala ya...
Msafara wa klabu ya Simba SC, Mnyama ukiwa na wachezaji 20, benchi la ufundi pamoja na baadhi ya viongozi umeondoka nchini leo Januari 29, 2019 kuelekea nchini Misri tayari kuwakabili klabu ya...
Kocha bora wa mwezi january na kocha mkuu wa clab ya KMC bw Etiene Ndeyiragije huenda akatua msimbazi. Kutokana na clabu hiyo kupata matokeo mabovu, mashabiki na wanachama waliomba kocha mkuu...
Aisee katika hali ya kushangaza nikiwa naona kipindi fulani kwenye TV nilishangaa kuona Yanga wamefungua akaunti kwa ajili ya kuomba watazaji michango.
Wanawachoresha wachezaji wakishawishi...
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi...
SHUKRANI:
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugezi Simba na Mwenyekiti wa Simba waliwashukuru watu wote kwa support yao kwa Simba mpaka sasa kwa nyanja zote.
SHABAHA
Majengo makubwa yalijipangia wote...
Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu.
Nakala : Shafii Dauda
baada ya yanga kupoteza alama 7 mpaka sasaiv kufatia kukubali kichappo cha bao 1-0 kutoka kwa stand united SC ya shinyanga imefanya vita ianze upya zidi ya watani wao wa jadi wekundu wa msimbazi!!!!
Peter Manyika golikipa wa zamani wa Yanga amekaririwa na blog ya Salehe Jembe akimshauri Beno Kakolanya arudi kumwomba msamaha mwalimu wake Zahra ili arudishwe kikosini.
Pia amegundua Benno...
Yaani hakuna ubishi kila mpenda soka Tanzania alipoona hekaheka za usajili Kwa akili ya klabu ya Simba alikubali kwamba Simba wameamua na mambo yatakuwa safi
Lakini pamoja na gharama MO...
Wasalaam!
Kwa wapenda michezo wote wa Tanzania. Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) ndilo limepewa dhamana ya kusimamia mpira wa miguu Tanzania kwa usawa na haki. Lakini kwa hali halisi...
Mara baada ya msemaji wa simba sc kutoa kauli tata bosi wa klabu hio Tajiri kijana bwana Mo Dewji kupitia platform yake ya Facebook na Instagram amempiga kijembe cha kiaina msemaji huyo...
huu ndo ushindani wa ligu unaonoga wa mpira wa miguu mmana hujui nani keshio atakuwa kileleni......wanacheza ligi zote Ligi kuu yenyewe,FA cap,UEFA Champion League ,Europa Cup lakini hakuna viporo...