Kuna vipande vya video vinasambaa mtandaoni vikimuonyesha msemaji wa Simba Haji Manara akiwa jukwaani uwanjani wakati Simba ikicheza(Sina uhakika kama ni kule DRC dhidi ya AS Vita Club) huku...
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri...
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage
Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi
Nisaidieni kushangaa wanaJF
MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa...
Hivi hii ndio ile timu manara alisema wanaitaka baselona? Tena ile bisolona yenyewe kabisa?
Na kipigo cha leo ni laana ya kuidharau Barcelona kiasi kile...
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kuwasalimu wote, Asalam Alyekum, Bwana asifiwe na Tumsifu Yesu Kristu...Amen
Wakati hali ya hewa hapa jiji ikiwa shwari kabisa kajua na kajoto kwa mbali macho na masikio ya wengi yatakuwa...
Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu...
Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza
Back to the topic
Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha...
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua...
Yanaitwa makombora ya mita 30 hivi na ya impossible angle,sio ya kuvizia gongagonga nini sijui,huenda yakapelekwa FIFA kujadiliwa goli bora la mwaka.Mwadui watasimulia nyieee hamjui tu.mwisho...
matokeo ya raundi ya kwanza
simba 3 vs 0 js saoura
al ahly 2 vs 0 as vita club
round ya pili
js saoura 1 vs 1 al ahly
as vita vs simba (saa 1 usiku)
msimamo
1.al ahly mechi 2 point 4
2.simba...
Mchambuzi wa michezo wa radio clouds shaffii dauda amejitoa kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari wa michezo TASWA kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti vya uandishi wa habari.
MY TAKE...
Kipindi cha michezo cha Efm kile cha asubuhi kimejaa porojo na matangazo mengi mengi hasa ya kamali.
Kipindi kinaanza saa 3 :00 lakini habari ya kwanza inaanza kusikika baada ya DK 20 huku...
Tetesi na habari zilizo chini ya kapeti katika klabu ya Simba inaelezwa kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kufanya usajili wa kushtukiza ulimwengu na soka la Tanzania kwa kumsajili mchezaji wake...
HISTORIA FUPI
AS Vita club ni timu iliyopo katika viunga vya jiji la Kinshasa nchini Congo DRC na imeanzishwa 1935 ikiwa inaitwa Reneissance baadae 1939 ikabadilishwa ikaitwa Victoria Club na 1971...